Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Wote watatu ni makada kindakindaki ndani ya chama. lakini kila mmoja anajitihada zake na mchango wake ndani ya chama.

Humphrey Polepole anahudumu katika cheo alichokuwa nacho Nape ndani ya chama, na kama kila kitu kikienda sawa mpaka 2020 ndiye anatarajiwa kuwa kufanya kazi kubwa ambayo NAPE aliifanya kwa kuivusha na kuhakikisha chama kinapata matokeo mazuri mtaani mpaka ngazi ya taifa. ( mtazamo tu)

Wasiwasi wangu upo kwa humphrey kama anaweza kufanya ambacho ninaamini kuwa NAPE alikifanya wakati wa uchaguzi uliopita. wasiwasi huu unatokana na rekodi isiyo nzuri kwa polepole kwa kutokuwa na ubunifu na kushindwa kusimamia ofisi za umma alizoaminiwa na wakati fulani kutweet anatamani asigeteuliwa kwa nafasi hizo.

Shaka nyingine ni pale ninapomuweka kwnye mzani kati ya Makonda na Nape katika harakati ya kujenga chama. Nani has alistahili kuondolewa kwa ustawi wa chama na taifa?

Naiona CCM ikiyumba kwa kasi kueneza propaganda na kunadi ilani yake 2020.

Manager Director amekoda vission, kampuni ita bancrupt.
 
Nayaona mabadiliko makubwa bunge lijalo..Kama Nape ataamua kutumia ushawishi wake ndani ya chama chake kupitia wabunge wa ccm naona muungano mkubwa baina ya ccm na wapinzani kuwa na sauti moja yenye kusudi flani...Hapa ndipo mwazo wa mabadiliko makubwa yatakapotokea..Naamin historia mpya inaenda kuandikwa...
Endelea kuishi kwa Matumaini
 
Nikikumbuka maelekezo ya matumizi ya silaha inanipa mashaka na alilofanya huyu sijui Polisi au Mtu aliyetumwa lakini ukimtizama mfuko wa nyuma ya Jeans huyu atakuwa Polisi. Kifupi huyu ni Polisi Mjinga asiyeelewa wakati na matumizi sahihi ya silaha ndogo mfano hii Bastola aliyoitoa.
 
Akitoa maoni yake juu ya kutumbuliwa kwa Nape,

Ameeleza kusikitishwa kwa kilichotokea ikizingatiwa kuwa Waziri Nape amevuliwa madaraka kwa kusimamia sheria na misingi yake. Na kama kijana, taifa bado linahitaji mchango wake.

Aidha amewaasa wanasiasa wote haswa waliopewa dhamana za uongozi kukumbuka siku zote kuna maisha nje na baada ya siasa!
 
Wema ana Ushawishi Mkubwa Kuliko Nape kwenye Jamii....ila Ndani ya Chama Nape anaushawishi Kuliko Bashite na Baba yake
 
Akitoa maoni yake juu ya kutumbuliwa kwa Nape,

Ameeleza kusikitishwa kwa kilichotokea ikizingatiwa kuwa Waziri Nape amevuliwa madaraka kwa kusimamia sheria na misingi yake. Na kama kijana, taifa bado linahitaji mchango wake.

Aidha amewaasa wanasiasa wote haswa waliopewa dhamana za uongozi kukumbuka siku zote kuna maisha nje na baada ya siasa!
Nimeipenda hiyo AYA YA MWISHO.
 
Lowassa hana kinyongo ni mwanasiasa wa Kihistoria kupata kutokea Tanzania. Katika Historia ya siasa nchini hilo jina lisipotajwa bado historia itakuwa haijakamilika.
 
Back
Top Bottom