Baadhi ya makamnda wanamwita SHUJAAAAA"..., rafiki yangu Lowassa anadhani ikulu ni wodi ya wagonjwa.., (ovyo).., anadhani ikulu wodi ya wagonjwa, na wenzake akina Mbowe.., wakamdanganya, lakini kila akiuangalia muziki wa CCM, breki za mwili zinaendelea kulegea.., ndio maana mambo yake yanaharibika ovyo.., la kwanza kubwa, watanzania hatutaki Rais wa majaribio, hatuwezi kuwa na Rais wa majaribio, Rais ambaye tukimwambia akakague majeshi yetu hawezi huyo hafai...., juzi nilikuwa Mbeya, vijana wale wakapiga Push-ups, nikauliza yule Fisadi anaweza.., wakasema atajisaidia jukwaani achana nae...."
- Nape Moses Nnauye, Iringa, Mkutano wa kampeni za CCM, 28.09.2015
Hizo ni taarab za kampeni. Why unazileta sasa?"..., rafiki yangu Lowassa anadhani ikulu ni wodi ya wagonjwa.., (ovyo).., anadhani ikulu wodi ya wagonjwa, na wenzake akina Mbowe.., wakamdanganya, lakini kila akiuangalia muziki wa CCM, breki za mwili zinaendelea kulegea.., ndio maana mambo yake yanaharibika ovyo.., la kwanza kubwa, watanzania hatutaki Rais wa majaribio, hatuwezi kuwa na Rais wa majaribio, Rais ambaye tukimwambia akakague majeshi yetu hawezi huyo hafai...., juzi nilikuwa Mbeya, vijana wale wakapiga Push-ups, nikauliza yule Fisadi anaweza.., wakasema atajisaidia jukwaani achana nae...."
- Nape Moses Nnauye, Iringa, Mkutano wa kampeni za CCM, 28.09.2015
It's all politics sasa subiri aweke wazi vimada wa Mkulu"..., rafiki yangu Lowassa anadhani ikulu ni wodi ya wagonjwa.., (ovyo).., anadhani ikulu wodi ya wagonjwa, na wenzake akina Mbowe.., wakamdanganya, lakini kila akiuangalia muziki wa CCM, breki za mwili zinaendelea kulegea.., ndio maana mambo yake yanaharibika ovyo.., la kwanza kubwa, watanzania hatutaki Rais wa majaribio, hatuwezi kuwa na Rais wa majaribio, Rais ambaye tukimwambia akakague majeshi yetu hawezi huyo hafai...., juzi nilikuwa Mbeya, vijana wale wakapiga Push-ups, nikauliza yule Fisadi anaweza.., wakasema atajisaidia jukwaani achana nae...."
- Nape Moses Nnauye, Iringa, Mkutano wa kampeni za CCM, 28.09.2015
Hovyo"..., rafiki yangu Lowassa anadhani ikulu ni wodi ya wagonjwa.., (ovyo).., anadhani ikulu wodi ya wagonjwa, na wenzake akina Mbowe.., wakamdanganya, lakini kila akiuangalia muziki wa CCM, breki za mwili zinaendelea kulegea.., ndio maana mambo yake yanaharibika ovyo.., la kwanza kubwa, watanzania hatutaki Rais wa majaribio, hatuwezi kuwa na Rais wa majaribio, Rais ambaye tukimwambia akakague majeshi yetu hawezi huyo hafai...., juzi nilikuwa Mbeya, vijana wale wakapiga Push-ups, nikauliza yule Fisadi anaweza.., wakasema atajisaidia jukwaani achana nae...."
- Nape Moses Nnauye, Iringa, Mkutano wa kampeni za CCM, 28.09.2015
Malipo ni hapa hapa dunia, amelipwa kulingana na alichopanda."..., rafiki yangu Lowassa anadhani ikulu ni wodi ya wagonjwa.., (ovyo).., anadhani ikulu wodi ya wagonjwa, na wenzake akina Mbowe.., wakamdanganya, lakini kila akiuangalia muziki wa CCM, breki za mwili zinaendelea kulegea.., ndio maana mambo yake yanaharibika ovyo.., la kwanza kubwa, watanzania hatutaki Rais wa majaribio, hatuwezi kuwa na Rais wa majaribio, Rais ambaye tukimwambia akakague majeshi yetu hawezi huyo hafai...., juzi nilikuwa Mbeya, vijana wale wakapiga Push-ups, nikauliza yule Fisadi anaweza.., wakasema atajisaidia jukwaani achana nae...."
- Nape Moses Nnauye, Iringa, Mkutano wa kampeni za CCM, 28.09.2015
Uko sawa may be, but alimzuia katika hali gani? Nape ni nani? Is he a criminal? What were the environment surrounding the scene? Was nape armed? nendeni atashinda kirahisi!mode swala hili linahitaji mjadala uliojitegemea.
katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.
Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.
kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
mode swala hili linahitaji mjadala uliojitegemea.