chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,870
Heshima Kwenu wakuu,
Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.
Karibuni.
=======
UPDATES;
=======
13:08hrs: Nipo hapa Protea hotel, Mheshimiwa Nape bado hajafika. Ntamsubiri hapa hapa.
Tena anakuja kusimama kupinga harakati za madawa ya kulevya kwa nguvu kiasi hicho.......! Cjui mara Rc kuingia Clouds kwa nguvu.
Tunasubiri mkuuHeshima Kwenu wakuu,
Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.
Karibuni.
=======
UPDATES;
=======
13:08hrs: Nipo hapa Protea hotel, Mheshimiwa Nape bado hajafika. Ntamsubiri hapa hapa.
Yeye aongee tu, lakini kwangu mimi hatakaa awe shujaa hata kidogo. Nikikumbuka jinsi alivyokuwa anamtukana mzee Lowassa, sitaweza kumwita shujaa hata kidogo. Ameshiriki kwenye kudidimiza bunge live, halafu eti leo tumwite shujaa, kwa lipi hasa? Namhurumia kama binadamu mwenzangu lakini siwezi kumwita shujaa hata siku moja. Nakumbuka jinsi alivyompigania Magufuli kwenye kampeni, hapo namhurumia sana kwa ubinadamu. Sasa naye si amwage mboga kwamba walimwingiza pale kwa bao la mkono!!Heshima Kwenu wakuu,
Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.
Karibuni.
=======
UPDATES;
=======
13:08hrs: Nipo hapa Protea hotel, Mheshimiwa Nape bado hajafika. Ntamsubiri hapa hapa.
Wewe umekopi avatar yangu halafu unaleta mapuuza hapa?Mkuu toa hiyo avatar,tusitafutane ubaya,huwezi kuwa na avatar inayofanana na yangu
Kwenye hili pole haijalishi tumeshinda au hatujashinda ila ujuha Wa Kiongozi umejulikana inatoshamtashindana lakini hamtashinda
Ungeandika kwa kiswhili ingekupa point nyingi sana.Nape was never a saint far from it Bunge Live fiasco comes to mind, but when you go out swinging thats how we will always remember you!!
Hashauriwi ni haki ykaeMjomba, saa hizi ndio kwanza saa sita, mbona mbio?
Mjomba, saa hizi ndio kwanza saa sita, mbona mbio?
Protea Hotel,,sawa
Simu yake Gari lake wewe nn kinakusumbuaMjomba, saa hizi ndio kwanza saa sita, mbona mbio?
Nna mashaka na elimu yako.Acha unafiki ndugu yangu amemtuma wapi