johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakika mkuu!Siku zote huo ndiyo ukweli na utaendelea kuwa hivyo.
Sasa Nape ni mdogo?Mkubwa gani unanyooshewa bastola hadharani?
Alishaomba msamaha.Huyo naye anajiona mkubwa?
Kwanza hana adabu alimtukana JPM kwenye simu anadhani JPM kasahau eh?
Alisha samehewaHuyo naye anajiona mkubwa?
Kwanza hana adabu alimtukana JPM kwenye simu anadhani JPM kasahau eh?
Kwamba chalii anajiona nae ni mkubwa,baada ya ile simu ya kusema Magu ni mshamba then mkewe kule bank nae akapigwa pini fasta tu akaambiwa tunafuatilia namna mkeo alivyopata ajira hapa.Huyo naye anajiona mkubwa?
Kwanza hana adabu alimtukana JPM kwenye simu anadhani JPM kasahau eh?
Jina la Nape likirudi Mtama itakuwa ni moja ya dalili za kusamehewa.Magu alisema 'Nape nimemsamehe lkn roho inauma kusamehe jamani.'
vipi kwani..nae anasumhuliwa na huu ugonjwa wa kushindwa kupumua?Hivi Prof. Mwandosya anaendeleaje?
Mjomba hizo hasira zako hazisaidii maana una hasira mpaka unapoteza muelekeo lazima itakua umekosa mengi sana kwenye huu utawala. Unakataa mpaka ukweli, kuna kitu gani hujakielewa hapa? Pamoja na kwamba nataka sana mabadiliko lakini siona kabisa nani wa kuleta mabadiliko. Na sipo tayari kuona tunajaribisha watu kwenye kuiongoza Tanzania (ref: Nyerere : Hatuweki watu kwa majaribio) Unaowapigia debe hawana uwezo wa kuongoza kama walivyo CCM hatutaki kufanya majaribio kama ya Zambia na Freddy ChilubaMkubwa gani unanyooshewa bastola hadharani?
nasikia mwenyekiti wetu bado ana usongo wa kum fix huyu dogo kwa kumwita "mshamba". kiwango hiki cha dharau kilimuumiza sana mwenyekiti wetu kwa kweli.Aliyekuwa mbunge wa Mtama, Nape Nnauye ameandika katika akaunti yake ya twitter kuwa uchaguzi ukiisha wakubwa hukaa na kumalizana ila kazi inabaki kwa wapambe ambao hupiga mikelele kiasi cha kutaka kutoana roho.
Nape anasema " Kuna maisha baada ya Siasa hivyo tupende na kuchukia kwa kiasi"
Maendeleo hayana vyama!