Nape: Uchaguzi ukiisha wakubwa tunakaa na kumalizana ila wapambe ndio hutaka kutoana roho

Nape: Uchaguzi ukiisha wakubwa tunakaa na kumalizana ila wapambe ndio hutaka kutoana roho

..hili jambo Jpm hakulifanya.

..na hana busara ya kulifanya.

..yeye uchaguzi ulipoisha akaanza kuwashughulikia wana-cdm.

..akawa anajiapiza kuufuta upinzani ktk ramani ya siasa za Tz.
 
Tatizo la hawa Overpaid Underperforming Prima Donnas ndio hili.... Yaani wanajiona wao ndio wakubwa ? (wakubwa wenye wapambe)..., Hivi zile theory kwamba kiongozi ni mtumishi wa watu (yaani watu ndio wamemuajiri) sijui umeishia wapi..
 
Aliyekuwa mbunge wa Mtama, Nape Nnauye ameandika katika akaunti yake ya twitter kuwa uchaguzi ukiisha wakubwa hukaa na kumalizana ila kazi inabaki kwa wapambe ambao hupiga mikelele kiasi cha kutaka kutoana roho.

Nape anasema " Kuna maisha baada ya Siasa hivyo tupende na kuchukia kwa kiasi"

Maendeleo hayana vyama
Mbona kachomolewa uwaziri kama wanamalizana?
 
Back
Top Bottom