Nape: Uchaguzi ukiisha wakubwa tunakaa na kumalizana ila wapambe ndio hutaka kutoana roho

Amwambie bosi wake maana ndiyo anaongoza kwa chuki
 
Kama huoni wa kuleta mabadiliko unayoyatamani. Kwanini usiyaongoze wewe ?!.
Huo ni utetezi wa ki NAFIKI
 
Yeani ni bonge la mnafiki
 
Kila mtu kwenye hii nchi anamuogopa Magufuli...

Wanasiasa,hasa wa CCM humo ndani wanamuogopa ZAIDI!

I wonder if this will bring any health to this Tanzanian society!

This will be dentrimental to Magufuli himself,big time!
 
Kama huoni wa kuleta mabadiliko unayoyatamani. Kwanini usiyaongoze wewe ?!.
Huo ni utetezi wa ki NAFIKI
Duh mjomba upo na akili timamu na majibu haya umelifikiria ama una jazba za kiitikadi kama wenzako wa CDM na CCM? Mimi binafsi siyo mwanachama wa chama chochote na wala siishi Tanzania lakini ni Mtanzania ambaye nina ndugu na jamaa wanaoishi hapo Tanzania na nina haki ya kutoa maoni yangu kama wewe ulivyo. Kwahiyo kutoa maoni siyo lazima niwe mwanasiasa wala mwanachama wa chama chochote. ILA SIONI MTU YEYOTE HASA HUKO UPINZANI AMBAYE ANA HUO UWEZO WA KULIONGOZA HILI TAIFA LA MWALIMU NYERERE. NINAWAONA WAROHO WA MADARAKA NA WACHUMIA TUMBO TU WAMEJAA HUKO. NA KWA CCM UKIMTOA MAGUFULI NA BAADHI YA WACHACHE NAKO KUMEJAA WAPIGA DEAL. HIVYO KAMA NILIVYOSEMA NAMUUNGA MKONO NGOSHA TATIZO LANGU KWA NGOSHA NI KUWANYIMA NAFASI WAPINZANI. Maana Uhuru wa maoni ni mzuri kumsaidia yeye aongoze vizuri. Lakini mengine yote ya kuwabana watu kama ninyi mliozoea kupiga ma deal namuunga mkono.
 
Kama ni wapiga dili ondoa Nyerere na labda Kawawa tu. Waliobaki wote ni hovyo, sema wanazidiana viwango.
 
Shida hamuwaambii hao wanachama wenu nyie wakubwa mnayamaliza vipi...

Kama ni kupeana asante...zitawanyeni hadi kwa wananchi.
 

Watu husema "mwaga mboga nimwage ugali".

Lakini jamaa akenda pale akamwaga mboga na ugali vote kwa pamoja.

Hao anaowaita "wapambe" anawalenga watu fulani.

Tena kutoka kwenye masufuria yale makubwa ya aina yake.
 

Hao hao wachumia tumbo ni bora kuliko kutawaliwa na chama kimoja hatuwezi hata kuwa na mlinganisho ni vema tuone hao wachumia tumbo nao watatupeleka wapi maana nchi hakuna mwenye hati miliki wapiga kura ndo watamuwa nani awatawale bila kujali wengine wanaonekana wachumia tumbo watapimwa kwa sera zao
 
Nape yupo sahihi,hakuna haja ya kuzozana baada ya uchaguzi.
Mzee Bulembo na Zitto wazingatie hayo baada ya October 2020,yanawahusu.
 
Waeleze hao wasanii 200

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…