Nape: Ukiachwa na basi usilalamike inawezekana linaenda kupata ajali

Kwa harakaharaka timu timu zimeanza kupangwa na kujipanga, kuna timu rizi, timu ima, timu madelu, timu kipara, timu zitakuwa nyingi kwenye ligi ila top four ndiyo hiyo. Bwana kipara yupo kimya sana haijulikani kama ana mpango wa kuingiza timu yake mchezoni. Hebu waache watanzania wachague kiongozi wanayemuona anawafaa, yaani waache vyama vingine navyo vifanye siasa zao kwa usawa na haki
 
yeye kama mwenzake Zito wametumika halafu wamewekwa pembeni, nakumbuka enzi hizo Zito na Makamba walikuwa dream team wanaongelea uraisi walikuwa wanajifananisha na Obama kumbe ambacho hawakukijua ni kwamba walikuwa wanatumika tu kusafisha njia ya wengine, sasa wote wamepigwa chini na kuacha njia nyeupee kwa prince (njia nyeupe in theory atleast).

enzi zao ...
 
Nape ni MTU asiweza kutunza siri sikuzote anajulikana kwenye eneo Hilo.
Mwamuzi wa mwisho wa mpambano huu ni kikwete kama huyu Mzee yupo timu IMMA basi kazi imeisha mapema Huko ndani....Acha tusubiri tuone itakuaje
 
Nape ni MTU asiweza kutunza siri sikuzote anajulikana kwenye eneo Hilo.
Mwamuzi wa mwisho wa mpambano huu ni kikwete kama huyu Mzee yupo timu IMMA basi kazi imeisha mapema Huko ndani....Acha tusubiri tuone itakuaje
na kwa utaratibu ule wa chama chao kuachiana zamu kiimani, zamu ijayo ni ya kina ima, sasa kama kikwete yupo kwa ima imeisha hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…