Wamachinga si wamesema wako radhi kuandamana ili mzee baba aongozewe miaka ya kutawala maana kipindi hiki wao ni ma don wanapiga hela ile laana.
Lissu aliyasema sana haya lakini huyu msukule alitishia kupiga mtu kibuti. Wacha watu wake waisome namba sasa dadeki!!Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi...
Yaani serikalo hii inaongozwa na kichwa cha mtu mmoja tutegemee economic paralysis in its totality.Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi...
Kwa awamu hii Yes ndio msimamo wa Wafanyakazi.Kwani msimamo wa Tucta na Tughe ndio msimamo wa Wafanyakazi tz?
Hili mmelijua mwaka huu, mwezi huu, siku hii?Unakuta mkuu wa wilaya anakagua mashine za efd.
Nape kanena ukweli!
Task force ina wataalamu wa kodi toka wapi?Siyo kweli,wanaokusanya kodi wanataaluma kabisa,tatizo hawafanyi kazi kwa uhuru kulingana na taaluma zao wanafanya kazi kwa shinikizo la mtu mmoja.
Ameshavuka kigingi cha kura ya maoni na sanduku la kura sasa ana wasiwasi gani, kumbuka mwingine alisema hambembelezi mtu kwakuwa uchaguzi umemalizikaNape Bado anadukuduku hata msamaha alioomba ni kupisha shari
Mpaka mpate akili wapuuzi nyie mlikuwa mnamshangilia diktetaUnakuta mkuu wa wilaya anakagua mashine za efd.
Nape kanena ukweli!
Mara wanasingiziwa wahujumu uchumi, mambo ya hovyo snKule kilimanjaro, mkuu wa wilaya ,ole sabaya ,mfanya biashara akimnyima fedha, ana mvamia usiku na polisi kufuatilia kodi. Maduka yamefungwa kila kona . Nape umenena
Task force ina wataalamu wa kodi toka wapi?
Haya tusubiri kuona kama bwana atafurahishwa na haya. TAL alishasema haya kitambo na watu hawahawa wakamubishia. Sasa wanakiri kuwa TRA inatafuna biashara.Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi...
Polisi anataalumu ya kukusanya kodi?Siyo kweli,wanaokusanya kodi wanataaluma kabisa,tatizo hawafanyi kazi kwa uhuru kulingana na taaluma zao wanafanya kazi kwa shinikizo la mtu mmoja.
So tumeambiwa kwasada tunakusanya tirilioni 2 kwa mwezi? Au tunadanganywa?Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi...