Nape, unatoa wapi muda wakusherekea chama kurudi kwa wenye chama huku Jimbo lako wananchi wanashindia maembe?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo busy anatafuta uteuzi akalipize kisasi.

Lindi na Mtwara Kuna gesi lakini haina mchango Kwa sababu imepeekwa DSM, tulitegemea ashawishi awamu hii ije na mkakati wa kufufua mradi wa gesi yeye yupo busy kuandika habari za Godfathers.

Bandari ya Mtwara ilijadiliwa iwe sehemu ya kupakia Korosho kwenda nje, Yeye na timu yake wameacha hoja ya bandari na kuruhusu Korosho ziende zikapakiwe DSM kwenda nje. Hana habari na bandari ya Mtwara ambayo Ina kina kirefu na ni lango la uchumi wa ukanda wa Mtwara, Lindi na Ruvuma.

Nape anajadili kwa nguvu zote na kupush agenda ya bandari ya Dsm Ila kura anakwenda kupata kusini. Badala wajipange yeye, mama Kikwete, Membe na wabunge wengine wa kusini wote wanashabikia bandari ya Bagamoyo. Unajiuliza Nani kawaloga Hawa wasaka madaraka wanaoishi DSM?

Nape, ajira za Korosho hakuna Mtwara na Lindi na unajua kuna njaa Kali lakini Wewe kwako shibe ya familia Yako ndiyo kipaombele. Wananchi wanauza maembe na yasiponunuliwa ndio mlo wa siku Ila Wewe upo busy kupambana kupata uteuzi, Nani kawaloga vijana?

Naomba nikushauri kuanzia Sasa Kwa kuzingatia Mhe. Rais anaelewa adha mliyopata awamu iliyopita Kwenye Korosho, bandari na miundombinu basi zungumza na mama Kwa nguvu ileile uliyowatafuta akina mama Maria Nyerere akuombee msamaha Kutana na Mhe. Rais umshawishi atoe upendeleo kusini ambako kulilaaniwa na Mwalimu wakati mlipompinga adharani na ikawa mwisho wake kutembelea huko.

Achana na Pole pole pambana kumshawishi mama akufungulie bandari, soko la Korosho na kuruhusu gesi ifanyiwe upakiaji mtwara Ili watu waende wakakuze ukanda wenu.

Huku Kwetu Kanda ya ziwa Kuna matatizo lakini Lindi Mtwara na Ruvuma umaskini unaoelezwa unatisha. Naambiwa asilimia 60 ya nyumba ni za nyasi, kweli Kwa umaskini huo ninyi ndio mnaosema chama kimerudi Kwa wenyewe? Kwamba chama kinamilikiwa na watu wasioweza kufuta nyumba za kuezekwa kwa nyasi toka tupate Uhuru?

Mhe. Waziri Mkuu, Nape, Mama Salma Kikwete, Nchimbi, Membe nk tumieni fursa hii ya Mama Samia kuwepo Madarakani kufungua Kanda ya Kusini pawepo na mchanganyiko wa watu. Achaneni na masuala ya kuongwa uwaziri then ninyi mnageuka wapiga kampeni ya maendeleo Kwenye Kanda nyingine. Rudini nyumbani, pigeni kampeni na SISI wahaya tutawaunga mkono.

Wakora waito Kusini
NINGETAMANI KUWASIKIA MKIJA NA KAMPENI
1. Ondoa nyasi piga bati.
2 Fungua bandari fungua uchumi wa kusini
3. Korosho ni Tanzanite yetu,itunufaishe
4. Gesi kichocheo Cha uchumi,tujengeeni kinu za uzalishaji
5. Viwanda haki yetu, SISI pia tunastahili
Kumbukeni kwamba tumbo lenye njaa uwaza maovu;washibisheni wapiga kura kupunguza kupitishwa na dola bila kupingwa.
 
Nnape siku zote huwa anaongea yaliyomo moyoni, hana unafiki. ndio kitu kizuri kwake.
 
Anaongelea ya moyoni yasiyokuwa matatizo ya jimboni kwake

Kifupi ni mumbeya na mnafiki Magufuli alikuwa sahihi kumpiga chini. watu aina ya Nape hawafai kwa post yeyote ya umma na mara nyingi hswana very long political future

Magufuli alivuta hiding kuweka vijana post kubwa lakini Wengi waking prove failure akiwemo Nape
 
Anaongelea ya moyoni yasiyokuwa matatizo ya jimboni kwake...
Duh Kwa hiyo vijana wengi waliopewa nafasi na Magufuli walivurunda... Ndio maana wako bench saiv Sio..

Pole Yao Kwa kweli... Na sidhani kama watarudi tena. Hata Kwa vigezo vya jinsia hawawezi kurudi maana wengi ni wakuja tu Kwa mujibu wa wenyewe.
 
UONGO

Huku Lingusenguse ni samaki nchanga tu!mbunge na chama ni kile kile kwa miaka yote ya kuwa na uhuru!
 
Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo busy anatafuta uteuzi akalipize kisasi...
Maembe, mabibo, korosho, nipa na chamaki nchanga ni vyakula vinavyojenga mwili kuliko ndizi, viazi, wali na ugali.
 
Ahahahaaa kwani nape ndio huwa anawapa chakula?
Mmeisahau hata kauli za mwenda zake ambazolikuwa mnazishangilia, "hakuna chakula cha bure,na asiyefanya kazi na asilie asipokula na afe"
 
Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo busy anatafuta uteuzi akalipize kisasi.

Lindi na Mtwara Kuna gesi lakini haina mchango Kwa sababu imepeekwa DSM, tulitegemea ashawishi awamu hii ije na mkakati wa kufufua mradi wa gesi yeye yupo busy kuandika habari za Godfathers.

Bandari ya Mtwara ilijadiliwa iwe sehemu ya kupakia Korosho kwenda nje, Yeye na timu yake wameacha hoja ya bandari na kuruhusu Korosho ziende zikapakiwe DSM kwenda nje. Hana habari na bandari ya Mtwara ambayo Ina kina kirefu na ni lango la uchumi wa ukanda wa Mtwara, Lindi na Ruvuma.

Nape anajadili kwa nguvu zote na kupush agenda ya bandari ya Dsm Ila kura anakwenda kupata kusini. Badala wajipange yeye, mama Kikwete, Membe na wabunge wengine wa kusini wote wanashabikia bandari ya Bagamoyo. Unajiuliza Nani kawaloga Hawa wasaka madaraka wanaoishi DSM?

Nape, ajira za Korosho hakuna Mtwara na Lindi na unajua kuna njaa Kali lakini Wewe kwako shibe ya familia Yako ndiyo kipaombele. Wananchi wanauza maembe na yasiponunuliwa ndio mlo wa siku Ila Wewe upo busy kupambana kupata uteuzi, Nani kawaloga vijana?

Naomba nikushauri kuanzia Sasa Kwa kuzingatia Mhe. Rais anaelewa adha mliyopata awamu iliyopita Kwenye Korosho, bandari na miundombinu basi zungumza na mama Kwa nguvu ileile uliyowatafuta akina mama Maria Nyerere akuombee msamaha Kutana na Mhe. Rais umshawishi atoe upendeleo kusini ambako kulilaaniwa na Mwalimu wakati mlipompinga adharani na ikawa mwisho wake kutembelea huko.

Achana na Pole pole pambana kumshawishi mama akufungulie bandari, soko la Korosho na kuruhusu gesi ifanyiwe upakiaji mtwara Ili watu waende wakakuze ukanda wenu.

Huku Kwetu Kanda ya ziwa Kuna matatizo lakini Lindi Mtwara na Ruvuma umaskini unaoelezwa unatisha. Naambiwa asilimia 60 ya nyumba ni za nyasi, kweli Kwa umaskini huo ninyi ndio mnaosema chama kimerudi Kwa wenyewe? Kwamba chama kinamilikiwa na watu wasioweza kufuta nyumba za kuezekwa kwa nyasi toka tupate Uhuru?

Mhe. Waziri Mkuu, Nape, Mama Salma Kikwete, Nchimbi, Membe nk tumieni fursa hii ya Mama Samia kuwepo Madarakani kufungua Kanda ya Kusini pawepo na mchanganyiko wa watu. Achaneni na masuala ya kuongwa uwaziri then ninyi mnageuka wapiga kampeni ya maendeleo Kwenye Kanda nyingine. Rudini nyumbani, pigeni kampeni na SISI wahaya tutawaunga mkono.

Wakora waito Kusini
NINGETAMANI KUWASIKIA MKIJA NA KAMPENI
1. Ondoa nyasi piga bati.
2 Fungua bandari fungua uchumi wa kusini
3. Korosho ni Tanzanite yetu,itunufaishe
4. Gesi kichocheo Cha uchumi,tujengeeni kinu za uzalishaji
5. Viwanda haki yetu, SISI pia tunastahili
Kumbukeni kwamba tumbo lenye njaa uwaza maovu;washibisheni wapiga kura kupunguza kupitishwa na dola bila kupingwa.
Kwani wanamtwara na Lindi wenyewe wanasemaje? hizo nyumba za bati wanazitaka?
 
Anaongelea ya moyoni yasiyokuwa matatizo ya jimboni kwake

Kifupi ni mumbeya na mnafiki Magufuli alikuwa sahihi kumpiga chini. watu aina ya Nape hawafai kwa post yeyote ya umma na mara nyingi hswana very long political future

Magufuli alivuta hiding kuweka vijana post kubwa lakini Wengi waking prove failure akiwemo Nape
Kwahiyo ilikua sahihi kumpiga Nape chini na kukumbatia majambazi?
 
Enzi za wenezi wa kuongea pumba na kelele ulishapitwa na wakati hizi ni nyakati za facts.
 
Unakosea kumu attack Nappe
Rasilimali za nchi hii zinasimamiwa na serikali kuu umewahi kuona wapi mbunge akiishinda serikali kwa maamuzi
Angalau nappe aliweza kuisemea Korosho nikuulize polepole amewahi kuisemea nini tena ENZI za kutupwa kwenye viroba?
 
Hizo kazi kamuachia waziri wa nishati, na zingine waziri wa Viwanda...

Kwa sasa yupo busy na Pole Pole...
 
Back
Top Bottom