Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

🀣 🀣 watu wa mjini mna matatizo sana ulikuwa unasubiria chips yai na soda?
 
Uzi kama huu ulifutwa baada ya watu hasa mm kufunguka kuhusu masaibu ya baadhi ya hawa watu,naona umeuleta kivingine ila sitachangia chochote kwa kwa sababu huwa nikisikia au kuona jambo lolote kuhusu hawa watu najisikia vibaya sana kwa niliyotendwa.
Kaka nakuomba ueleze. Kama utashindwa kuelezea hapa basi njoo hata PM. Utakuwa umetusaidia sana vijana ambao bado hatujaoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…