Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Wewe mwanaume wa wapi
Hicho ndiyo chakula ili kikutie mzuka kwa mtoto wao

Upande kwelikweli
 
makande ni desturi
 
Hongera Jamaa, napendaga sana watoto wa kipare, yaani katika maisha yangu hilo kabila nilidate Mabint watatu hivi, ahha hah nilichopendaga wanapenda sana nanii..... sasa wamekutana na ninayependa. Shida sikuweza kuwaoa aseee. mmoja aliniambia kama huwezi kunikojolesha jiandae kusadiwa duh ilikuwa hatari sana hiyoo na joto hili la dar , niliachana na huyu baada ya kuja kwangu na kisu kisa kukuta chupi ya mchepuko getho mzee nikakimbia chumba πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Mmoja nilienda kwake nikakuta njemba inatoka imelowa jasho sikurudi tena . huyu mwingine alikuw denti nilitia mimba nikakimbia lakini alitowaga aseee, i love wapere mzee piga kazi ya maana hapo utaenjoy sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…