Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Mi pia nashangaa, huenda labda ni wale ambao wako less exposed aidha kijijini na hii ni kwa kabila zote ila mpare aliozaliwa na kukulia mjini haezi kuwa na tabia za kipuuzi namna hio.
Mkuu weka akiba ya maneno.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nafukuzia mtoto wa kichaga ila sasa hivi yupo mbali - Zenji. Na nina nyota na wachaga acha tu. Nime date watoto wa kichaga mfululizo. Toka nianze kudate nimedate mpare mara moja na wakinga then Mchaga. Ila sio mbay, wapare watamu sana ila hawawezi kuwafikia Wachaga aseee.! Jotoooo kama loteee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…