Napenda haya majina

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
Habari JF....

Asee nataka tu niwashirikishe majina ninayoyapenda....

Yani haya majina haipiti siku sijayataja hata kimoyomoyo...

Yako unique aseee...

1.Nangwana sijaona

2.Ubena Zomozi

3.Chachu Ombara,hili jina nimeliona humu JF juzi juzi ktk pita pita zangu..

4.Simbachawene

5.TP Mazembe

Hata sijui kwann nayapenda...

We unapenda majina gani???
 
Mimi napenda Kina Mwamvua woote wanaojiita Milly wawapo mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…