Napenda haya majina

Lowassa
 
Chokochoko mchokoe pweza binadamu huyo muweza. scorpio me nakujulisha hata usemeje kamwe bura yangu sibadili na rehani.
Muungwana akivuliwa nguo Huchutama..........Huyu anaemvua nguo Muungwana ana nia gani? na ni nani........? na muugwana wakati wa kuchutama ni lazima ainame itakuwaje walio nyuma yake.........!!!!!!!.....?????? kazi kwelikweli........
 
Ukiwaona ditopile wakamate mzuzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…