Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
- #41
jamaniii hata mimi hua nalitamka sana,sema sijaamua tu kuliandika hapo kune list yanguSizonje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaniii hata mimi hua nalitamka sana,sema sijaamua tu kuliandika hapo kune list yanguSizonje
LowassaHabari JF....
Asee nataka tu niwashirikishe majina ninayoyapenda....
Yani haya majina haipiti siku sijayataja hata kimoyomoyo...
Yako unique aseee...
1.Nangwana sijaona
2.Ubena Zomozi
3.Chachu Ombara,hili jina nimeliona humu JF juzi juzi ktk pita pita zangu..
4.Simbachawene
Hata sijui kwann nayapenda...
We unapenda majina gani???
Muungwana akivuliwa nguo Huchutama..........Huyu anaemvua nguo Muungwana ana nia gani? na ni nani........? na muugwana wakati wa kuchutama ni lazima ainame itakuwaje walio nyuma yake.........!!!!!!!.....?????? kazi kwelikweli........Chokochoko mchokoe pweza binadamu huyo muweza. scorpio me nakujulisha hata usemeje kamwe bura yangu sibadili na rehani.
Ukiwaona ditopile wakamate mzuzuri!Habari JF....
Asee nataka tu niwashirikishe majina ninayoyapenda....
Yani haya majina haipiti siku sijayataja hata kimoyomoyo...
Yako unique aseee...
1.Nangwana sijaona
2.Ubena Zomozi
3.Chachu Ombara,hili jina nimeliona humu JF juzi juzi ktk pita pita zangu..
4.Simbachawene
Hata sijui kwann nayapenda...
We unapenda majina gani???
😀😀😀😀😀 nimecheka sana,hata hilo nalipenda pia...Mungu ailaze roho yake mahali pema.Ukiwaona ditopile wakamate mzuzuri!
alazwe mahali pema peponi Kwa wema wake mkuu!😀😀😀😀😀 nimecheka sana,hata hilo nalipenda pia...Mungu ailaze roho yake mahali pema.
Aminaalazwe mahali pema peponi Kwa wema wake mkuu!
Jidu La Mabambasi, Wamba dia wamba, Hashim Rungwe Spunda, Thobias Kifaru Lugalambwike...ntaongezea menginejamaniii hata mimi hua nalitamka sana,sema sijaamua tu kuliandika hapo kune list yangu
Aisee ndio nimefufuka leo na kuona.Mkuu Chachu Ombara unaitwa huku!
Asante piascorpio me asante sana, hata mimi napenda Avatar yako.
Haa sory nibwewe nimetype vibaya[emoji87] [emoji87]huyo atakua mwingine yangu haina n
[emoji23] [emoji23] muone vileHaa sory nibwewe nimetype vibaya[emoji87] [emoji87]
Nini tena[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] muone vile
Asante[emoji4] [emoji4]Nini tena[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Poa mwayaAsante[emoji4] [emoji4]