Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

Arusha...joh makini, nikki 2, g nako, lord ez, jcb, mo plus, nakaya, tash, dogo janja, bonta, shah bang, genrez mwakitabu, mapacha, banx, jambo squad, stopper
Bonta ni mjaluo wa buturi ,rorya Mara na ni katibu wa afya halmashaur ya ushetu kahama.
 
MWANZA

FID Q
,Mtoto wa Dandu(R.I.P),
Dudubaya
,H.baba,
Rado,
PNC,
Young killer
,Baraka da prince
,Kadgo
, malle
,Dataz,
Sajna
,Mo music
,nchama the best,
Mayunga
,Edu boy,
Khadija
Coyo
Dogo D
H.chris
Lady kwilega
Rasco
Dullah mwanza
Candy
 
Ila mbona wengi ni wale wanaoabudu Ijumaa? Kaswida nini? Kwani ata wale wa Jumapili an Jumamosi nilisikia mmoja wao alikuwa anaimba kwaya kanisani.
 

Msanii wa kwanza kwenda jela baada ya kumjaribu Rais Magufuli!
 
Tununu.......
 
Ali Kiba
Diamond
Omy Dimpoz
Queen darling
Abdu Kiba
wanatoka Kigoma
Umewasahau

Kaseja
Msechu
Zolo family
Linex
Lunyamila
Upendo Nkone
Upendo Kilahiro
Fanuel Sedekia(r.ip)
Bizimana
Mnyika
Mapigo saba
List ni ndefu....
 
jamani bwana misosi siwa kigoma? alipiga kerere sana alivyo kosa kwenye LEKA DUTIGITE....
Ni wa kigoma lkn alitokea tanga ki mziki. Kwao ni pale nyumbigwa kijiji kimoja na prof mbwiliza
 
Mkuu mtoe bw Misosi sio mtoka Tanga bali Kigoma mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…