bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Upo sahihi anatoka Kigoma na hata ktk album yake ya nitoke vp kuna wimbo aliimba kwa wale waliokuwa wanamuuliza kabisa lake.jamani bwana misosi siwa kigoma? alipiga kerere sana alivyo kosa kwenye LEKA DUTIGITE....
Joseph haule, wa kunyumba[/QUOTE
Ruvuma Cyo ?.
Kala Jeremiah asili yake ni wilaya ya kwimba Mwanza,Jeremiah na kuchele wapi na wapi
Safi hapo 100% 100%Kala Jeremiah asili yake ni wilaya ya kwimba Mwanza,
Nimeshangaa jamaa hapo juu kadai eti kala Jeremiah ni mmakonde[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo ni msukuma, ndomaana kuna wimbo anachomekea kilugha,Safi hapo 100% 100%
Nimeshangaa jamaa hapo juu kadai eti kala Jeremiah ni mmakonde[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo ni msukuma, ndomaana kuna wimbo anachomekea kilugha,Safi hapo 100% 100%
Niki mbishiEnika
Quick Rocker
Young D
Crazy GK
Adili
Linah,na wale waimba gospel kama kina mahenge,na wengine tuwekee orodha nzima+Amina Chifupa (rip)Be alone,kaisali,jeyctoz,
Wasanii kutoka njombe
Ray kigosi-iringa, stamina moroIringa. Beka. , Marlow , Baranaba boy , Linah( Njombe) n.k
Moro. Afande Sele, Daz Baba, Ditto, O- ten n.k
Huyu jamaa ni mtengwa labda ndio chindo man au umbwa mzeembona hujajitaja?
hahahaMsanii wa kwanza kwenda jela baada ya kumjaribu Rais Magufuli!
Tens young D ana bibi ake kule Ibigi RungweEnika
Quick Rocker
Young D
Crazy GK
Adili