Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

MWANZA

FID Q
,Mtoto wa Dandu(R.I.P),
Dudubaya
,H.baba,
Rado,
PNC,
Young killer
,Baraka da prince
,Kadgo
, malle
,Dataz,
Sajna
,Mo music
,nchama the best,
Mayunga
,Edu boy,
Khadija
Dataz.uongo, Dataz ni mdogo wake squeezer kwao ni Morogoro
 
Ila mbona wengi ni wale wanaoabudu Ijumaa? Kaswida nini? Kwani ata wale wa Jumapili an Jumamosi nilisikia mmoja wao alikuwa anaimba kwaya kanisani.
Nawe uimbe, hili uwekwe kwenye orodha wa kanisani.
 
Rose ndauka__namtumbo

Mrisho mpoto __namtumbo

Sajuki(ra)__namtumbo

Kidoti/jojo__mbinga

Bambo__mbinga.

Grace mapunda(Tesa)__mbinga.
 
Back
Top Bottom