mcrounmj
JF-Expert Member
- Feb 26, 2016
- 380
- 889
VP mkuu, meatu hawauzi karangapoapoa mkuu, nataka nitoke mkoa wanakonifahamu niende ugenini nitauza hata karanga, maji, soda kopo, stendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VP mkuu, meatu hawauzi karangapoapoa mkuu, nataka nitoke mkoa wanakonifahamu niende ugenini nitauza hata karanga, maji, soda kopo, stendi
Kweli ila sehemu yoyote ukiamua unatoboa tu unaozingua ni mwanzo.Yeah. Hata akienda na hiyo laki nne tunduma na akiwa mjanja atatoka sana. Akauze hata jezi au tisheti.
Vibaruaa vipoo vingii ni wewe tuu....vyumba hadi vya elfu tano vipoo ni wewe tu kuchaguaa kama unataka cha 5000 au 30000vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?
nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Hapo ishu sio kuuza Karanga, ishu hapo ni Mzunguko wa pesa, Km Meatu nako kuna Mzunguko wa hela km Mbeya hapo sawa.VP mkuu, meatu hawauzi karanga
Acheni kudanganyana kipuuzi nyie, ingekua rahisi kama mlivorahisisha nyie basi watu wasingekua wanalalamika vyuma kukaza.Wewe jamaa utakuwa mvivu sana. Ndio maana unasema hivyo. Kwa mchapakazi Mbeya lazima atoke.
Hawa wanao sema buku jero inatosha watakuwa wanaishi mbozi huko magambaAcheni kudanganyana kipuuzi nyie, ingekua rahisi kama mlivorahisisha nyie basi watu wasingekua wanalalamika vyuma kukaza.
Kila sehemu ukikomaa unatoka, mbeya hasa hapa city center ukiachana na hali ya hewa nzuri hakuna kitu cha nafuu, hiyo buku jero mnayosema inatosha kwa siku embu nipeni bajeti yake. (hahahaaaa)
Mkuu, inawezekana hujatumia fursa ipasavyo, Ngoja waje wanaojua kutumia fursa ndipo ushangae Mwenyewe jinsi Watu wanavyotoka Kimaisha. Siku zote unaambiwa, Kwenye miti Hakuna Wajenzi.Acheni kudanganyana kipuuzi nyie, ingekua rahisi kama mlivorahisisha nyie basi watu wasingekua wanalalamika vyuma kukaza.
Kila sehemu ukikomaa unatoka, mbeya hasa hapa city center ukiachana na hali ya hewa nzuri hakuna kitu cha nafuu, hiyo buku jero mnayosema inatosha kwa siku embu nipeni bajeti yake. (hahahaaaa)
Ukienda kwa Akina mama Ntilie, hiyo buku jero ni kubwa sana. Unakula na unashiba freshiiii !!!!!. Ukitaka kujipikia napo ni sawa, Unajua Unga wa jero hiyo ni nusu kilo, Mkaa Wa miambili, Mboga majani ya miambili, Nyanya za mia, Dagaa wa mia mbili,Mafuta ya kupikia ya shilingi Mia, Hapo nabakiwa na Salio la Shilingi Mia mbili, Maisha yanasonga. Upo hapo, Watu weweeee, Mbeya hiyo !!!!.Hawa wanao sema buku jero inatosha watakuwa wanaishi mbozi huko magamba
Mkuu ukizungumzia kwa mama ntilie sehemu yenye chakula cha bei rahisi ni dar na hiyo bajeti uliyo piga umepiga kwa akili yako haiko sahii kwa sasa hamna nyanya za mia na hamna mkaa wa mia mbili hilo ulijueUkienda kwa Akina mama Ntilie, hiyo buku jero ni kubwa sana. Unakula na unashiba freshiiii !!!!!. Ukitaka kujipikia napo ni sawa, Unajua Unga wa jero hiyo ni nusu kilo, Mkaa Wa miambili, Mboga majani ya miambili, Nyanya za mia, Dagaa wa mia mbili,Mafuta ya kupikia ya shilingi Mia, Hapo nabakiwa na Salio la Shilingi Mia mbili, Maisha yanasonga. Upo hapo, Watu weweeee, Mbeya hiyo !!!!.
Mimi mkuu nakybaliana na we, hakuna sehem yenye unafuu in we tu na mipango yakoAcheni kudanganyana kipuuzi nyie, ingekua rahisi kama mlivorahisisha nyie basi watu wasingekua wanalalamika vyuma kukaza.
Kila sehemu ukikomaa unatoka, mbeya hasa hapa city center ukiachana na hali ya hewa nzuri hakuna kitu cha nafuu, hiyo buku jero mnayosema inatosha kwa siku embu nipeni bajeti yake. (hahahaaaa)
swali lako nimelielewa Ila sijajua mantiki yako nini haswa.VP mkuu, meatu hawauzi karanga
poa poa tutawasiliana mkuuKaribu mkuu mi nitakupokea japo nko busy kiasi na vikazi vya watu
Hahaha, MBNA kawaida tuswali lako nimelielewa Ila sijajua mantiki yako nini haswa.
haya bhanaHahaha, MBNA kawaida tu
Daah Mkuu Upo Serious kweli?Vyumba ni bei rhs naishi kwenye nyumba ya vyumba 4 na choo ndani imezungushwa na geti..70k kwa mwezi..
Mkaa wa mia mbili hahahaaaa you are not serious man.Ukienda kwa Akina mama Ntilie, hiyo buku jero ni kubwa sana. Unakula na unashiba freshiiii !!!!!. Ukitaka kujipikia napo ni sawa, Unajua Unga wa jero hiyo ni nusu kilo, Mkaa Wa miambili, Mboga majani ya miambili, Nyanya za mia, Dagaa wa mia mbili,Mafuta ya kupikia ya shilingi Mia, Hapo nabakiwa na Salio la Shilingi Mia mbili, Maisha yanasonga. Upo hapo, Watu weweeee, Mbeya hiyo !!!!.
Kila sehemu uwa na accidentals. Tayari hapa hapa nimepata a fair deal ana a business finalized already. Viva JFKweli umevamia uzi. Nenda kwenye Matangazo madogomadogo.
yep!haiwekwi kwenye frijiHivi juisi na soda vinauzika sana kule na baridi lake?
Utakuwa mmbeya si polepole! Subiri tu ukianza kuishi tutaona!Wakuu Hbr za Week-end...!!!!???. Km Kichwa kinavyosomeka, Ktk Mikoa yote ya Tanzania, Mkoa Wa Mbeya nimetokea Kuupenda Kuliko Mikoa mingine Kwasababu kadhaa, Ya Kwanza ikiwa ni Gharama ndogo za Maisha tofauti na Mikoa mingine, Pili Mzunguko Mzuri Wa Fedha, Tatu ni Hali nzuri ya hewa inayovutia Uzalishaji mkubwa wa Mazao ya Chakula na Biashara, Nne ni Miundombinu Bora ya Barabara inayowezesha Usafirishaji wa Bidhaa za Viwandani na Kilimo.Hizo ni baadhi tu ya Sababu, lkn zipo nyingi.Nakupenda Mbeya japo siyo Kwetu.