NAPENDA KUISHI MBEYA.

NAPENDA KUISHI MBEYA.

Karibu mkuu mi nitakupokea japo nko busy kiasi na vikazi vya watu
 
vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?

nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Vibaruaa vipoo vingii ni wewe tuu....vyumba hadi vya elfu tano vipoo ni wewe tu kuchaguaa kama unataka cha 5000 au 30000
 
Wewe jamaa utakuwa mvivu sana. Ndio maana unasema hivyo. Kwa mchapakazi Mbeya lazima atoke.
Acheni kudanganyana kipuuzi nyie, ingekua rahisi kama mlivorahisisha nyie basi watu wasingekua wanalalamika vyuma kukaza.

Kila sehemu ukikomaa unatoka, mbeya hasa hapa city center ukiachana na hali ya hewa nzuri hakuna kitu cha nafuu, hiyo buku jero mnayosema inatosha kwa siku embu nipeni bajeti yake. (hahahaaaa)
 
Hawa wanao sema buku jero inatosha watakuwa wanaishi mbozi huko magamba
 
Mkuu, inawezekana hujatumia fursa ipasavyo, Ngoja waje wanaojua kutumia fursa ndipo ushangae Mwenyewe jinsi Watu wanavyotoka Kimaisha. Siku zote unaambiwa, Kwenye miti Hakuna Wajenzi.
 
Hawa wanao sema buku jero inatosha watakuwa wanaishi mbozi huko magamba
Ukienda kwa Akina mama Ntilie, hiyo buku jero ni kubwa sana. Unakula na unashiba freshiiii !!!!!. Ukitaka kujipikia napo ni sawa, Unajua Unga wa jero hiyo ni nusu kilo, Mkaa Wa miambili, Mboga majani ya miambili, Nyanya za mia, Dagaa wa mia mbili,Mafuta ya kupikia ya shilingi Mia, Hapo nabakiwa na Salio la Shilingi Mia mbili, Maisha yanasonga. Upo hapo, Watu weweeee, Mbeya hiyo !!!!.
 
Mkuu ukizungumzia kwa mama ntilie sehemu yenye chakula cha bei rahisi ni dar na hiyo bajeti uliyo piga umepiga kwa akili yako haiko sahii kwa sasa hamna nyanya za mia na hamna mkaa wa mia mbili hilo ulijue
 
Acheni kudanganyana kipuuzi nyie, ingekua rahisi kama mlivorahisisha nyie basi watu wasingekua wanalalamika vyuma kukaza.

Kila sehemu ukikomaa unatoka, mbeya hasa hapa city center ukiachana na hali ya hewa nzuri hakuna kitu cha nafuu, hiyo buku jero mnayosema inatosha kwa siku embu nipeni bajeti yake. (hahahaaaa)
Mimi mkuu nakybaliana na we, hakuna sehem yenye unafuu in we tu na mipango yako
 
Ukienda kwa Akina mama Ntilie, hiyo buku jero ni kubwa sana. Unakula na unashiba freshiiii !!!!!. Ukitaka kujipikia napo ni sawa, Unajua Unga wa jero hiyo ni nusu kilo, Mkaa Wa miambili, Mboga majani ya miambili, Nyanya za mia, Dagaa wa mia mbili,Mafuta ya kupikia ya shilingi Mia, Hapo nabakiwa na Salio la Shilingi Mia mbili, Maisha yanasonga. Upo hapo, Watu weweeee, Mbeya hiyo !!!!.
Mkaa wa mia mbili hahahaaaa you are not serious man.

Kwa sasa chini ya buku hupati msosi wowote kwa mama ntilie, iwe chips kavu au wali maharage hata ugali maharage hupati. Ukienda sehemu ambazo ni changanyikeni kama doksi sahani ya wali maharage ni buku mbili, hapo hujanywa chai + kitafunwa, hujui usiku utakula nini.

Hata tukuyu zamani ndio lilikua kimbilio la wengi lakini saizi nako wameshtuka
 
Wakuu Hbr za Week-end...!!!!???. Km Kichwa kinavyosomeka, Ktk Mikoa yote ya Tanzania, Mkoa Wa Mbeya nimetokea Kuupenda Kuliko Mikoa mingine Kwasababu kadhaa, Ya Kwanza ikiwa ni Gharama ndogo za Maisha tofauti na Mikoa mingine, Pili Mzunguko Mzuri Wa Fedha, Tatu ni Hali nzuri ya hewa inayovutia Uzalishaji mkubwa wa Mazao ya Chakula na Biashara, Nne ni Miundombinu Bora ya Barabara inayowezesha Usafirishaji wa Bidhaa za Viwandani na Kilimo.Hizo ni baadhi tu ya Sababu, lkn zipo nyingi.Nakupenda Mbeya japo siyo Kwetu.
Utakuwa mmbeya si polepole! Subiri tu ukianza kuishi tutaona!
 
Back
Top Bottom