Ni wazo zuli lakin mimi nilikuwa nataka kununua kiwanja na kuki jenga mwenyewe Na anapangisha tu au ana uza pia ningependa kununua na si kukodiSiku ya kurudi Iringa unijulishe ili twende tukamsalimie Mzee maarufu pale Iringa Mjini! Anaitwa Mzee Mgaya.
Huyo Mzee ana fremu za biashara zaidi ya 100 pale stendi ya zamani. Hivyo itakuwa ni rahisi wako kupata walau fremu moja ya kuanzishia hiyo supermarket yako.
Kwanza kuhusu jina kulingana na herufi ulizotaja napendeza tumia "JAKS SUPERMARKET " kwasababu ni jina fupi, linasomeka kwa urahisi na bila kutaja herufi moja moja pia kama kukiwa nafasi ya ajira yoyote halali naomba msaada wako naishi Iringa mjini maeneo ya Kihesa.. Nina elimu ya bachelor in business management na diploma in procurement and logistic management vile vile uzoefu wa kufanya kazi benki katika majukumu ya uhasibu, cashier, supply chain na logistics nipo tayari kujitolea mwanzoni wakati ambao kunakua na mambo mengi ya kuyaweka sawa.Big supermarket name
Napenda kujenga big supermarket Iringa, nataka watu wakija kununua wanaingia ndani ya duka na kujipatia wanachotaka kwakuwa itakuwa big supermarket.
Nataka jina la hiyo supermarket niitaje hata nikiweka bango mtu awe anakumbuka jina, na sitaki jina linalofanana na maduka mengine. Jina linaweza kutoka kwenye hizi herufi "S A E K N F L J" SUPERMARKET.
Umefikaje huko tupe connection tuzamieNiko marekani ila nyumbani ni iringa
Nilikuwa mfanya kazi wa ndani bosi akanichukua na mimi tukaja wote lakini watu waanze kutafuta passport nikipata connection nita wakumbuka 😘😘Umefikaje huko tupe connection tuzamie
Kuandika ujui,au unafikiri hiyo super markets utainyaaa?? Danga na vibopa au uza punyeBig supermarket name
Napenda kujenga big supermarket Iringa, nataka watu wakija kununua wanaingia ndani ya duka na kujipatia wanachotaka kwakuwa itakuwa big supermarket.
Nataka jina la hiyo supermarket niitaje hata nikiweka bango mtu awe anakumbuka jina, na sitaki jina linalofanana na maduka mengine. Jina linaweza kutoka kwenye hizi herufi "S A E K N F L J" SUPERMARKET.
Nilikuwa mfanya kazi wa ndani bosi akanichukua na mimi tukaja wote lakini watu waanze kutafuta passport nikipata connection nita wakumbuka 😘😘Umefikaje huko tupe connection tuzamie
huo ni ujinga na upotovu uza punye zako kwakuwa unashda ya helaKuandika ujui,au unafikiri hiyo super markets utainyaaa?? Danga na vibopa au uza punye
Nakushauri ufungue biashara huko huko ondoa uwoga, jiamini!Niko marekani ila nyumbani ni iringa
Wow Nime kupenda bureNakushauri ufungue biashara huko huko ondoa uwoga, jiamini!
Thank you so muchThe ability to think beyond reality and wish for a better future. That is to "dare to dream"
Yes! Inawezekana kabisa ukajenga Supermarket kubwa hapo Iringa. All the best.
Basi haya! As the saying goesWow Nime kupenda bure
AsanteKila la kheri.
Wow AsanteTafuta ka fremu mjini weka duka la vifaa vya simu (screen protectors, chaja na covers). Then tafuta vijana 10 machinga uwe unawapa bidhaa wanatembeza wanauza cha juu wanakula ww unachukua hela yako na bidhaa zilizobaki.
Wakat unanangaiza wateja na vijana wako nao wanakua mtaani wanabangaiza. Utanishukuru
Thank you so muchUkitaka majina kuna website zinafanya hio kazi ingia chagua the best.
Mimi nakushauri fanya kile moyowako ulichokusudia (supermarket) never divert.
Hata kama ukifeli (japo haitatokea) utajilaum mwenyewe.
Kitakachokufanya ufanikiwe ni neno “perseverence” stiki kwenye hio biashara hata 5 years utajifunza vitu vingi then boom utaanza kuona profit
Nyumba ya kupangisha nanunua kiwanja alafu najenga jengo moja vumbya vingi au najenga nyumba nzima moja alafu tena najenga nyingine ,kujenga nyumba nzima moja moja ita nikula mpaka nita choka Huwa nafikilia kujenga nyumba ya kupanga najenga jengo moja alafu nakata vyumba Vyumba lakin huwa naona sielewi sana nikiwaza chumba sebure jiko bafu Bado tu najianda nataka kupata mongozo flan kabla sija anza kujenga Asante kwa msaada wakoKama bado visa yako haija expire huja overstay ,au bado una multiple entry zinakuruhusu huko ,
na una ajira na kusihi endelea kupambana upate kiwango kingine cha fedha kama hzio ujenge na nyumba maeno mazuri za kupangisha ,
huku ukiwa na hiyo supermarket
Jim Reeves- Wishful thinking daydreams fly happy visions fill the night.Najianda habari ya hela niko na dolla kuzibadilisha kuwa tz shillings zina tosha naanza na jina ili jengo likianza kujengwa watu wajuage ni nini najeng