- Thread starter
- #41
Ni wazo zuli lakin mimi nilikuwa nataka kununua kiwanja na kuki jenga mwenyewe Na anapangisha tu au ana uza pia ningependa kununua na si kukodiSiku ya kurudi Iringa unijulishe ili twende tukamsalimie Mzee maarufu pale Iringa Mjini! Anaitwa Mzee Mgaya.
Huyo Mzee ana fremu za biashara zaidi ya 100 pale stendi ya zamani. Hivyo itakuwa ni rahisi wako kupata walau fremu moja ya kuanzishia hiyo supermarket yako.