Napenda kujua kwa namna gani mashushushu duniani wanaweza kutambuana

Napenda kujua kwa namna gani mashushushu duniani wanaweza kutambuana

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
7,295
Reaction score
3,950
jf

Kuna minong'ono kadhaa jinsi ya maafisa hao wanavyoweza kutambuana popote pale duniani wengine wanasema wana lugha zao wengine kwa kuangaliana tu ,wajuvi wa mambo wanijuze katika somo hili
 
Hapo utakundua kitu kama unazo dalili za ushushu
 

Attachments

  • 1484328287940.jpg
    1484328287940.jpg
    50.8 KB · Views: 97
Hiyo ni siri hauwez Pata Labda aliyeacha Ndio akupe si Kila jambo huwekwa waz
 
Back
Top Bottom