Napenda kujua kwa namna gani mashushushu duniani wanaweza kutambuana

Napenda kujua kwa namna gani mashushushu duniani wanaweza kutambuana

Mie nikiona kavaa kaunda suti kaweka na pen kwenye shati kisha kanyoa ndevu zote na nywele kapiga unga nakimbia fasta hapo maana utakuwa unadukuliwa .
teh teh teh hizo walaa. Angalia akikaa baa cheki exit zilipo na angalia amekaa wapi na je ana access na exit zote?😀
 
Nazikumbuka njia mbili ambazo hao jamaa wa Kaunda suti huweza kutambuana.Ya kwanza ni Kwa kuangalia mavazi,Kwa maana kwamba jamaa wamejiwekea kautaratibu spesho ka kuvaa mavazi Fulani hivi Kwa mfano wanastyle zao za kuvaa suti na pia jamaa wanapendelea Kaunda suti na hawajaachaga.

Njia ya pili ambayo jamaa wanatambuana ni Kwa kuangalia sura,yaani wanaita wenyewe ''facial expression''.Kwa kuangalia sura tu,hawa jamaa wanajuana.Unaweza usiamini,ila ndo hivyo.
 
kwa nchi yetu,watakutafuta wenyewe,unaweza ukawa shule wakakustudy na kuona unafaa,ukawa informer,baadae ukapata training na kuendelea,
kama tu unataka kuwa detective si unaanzia polisi then unaweza kuwekwa criminal investigation,

kwa nchi kama marekani wao unaweza kuapply,

How to Become a CIA Agent | CIA Agent Education
Je wanchukua mtu yeyote bilan kuzingatia umri?
 
hata humu wamo wanawaangalia tu mnavyohangaika kuwajua.
hivi yule mkurugenzi wa NIDA aliteuliwa kuwa nani vile???

be carefully......

Aliteuliwa na Ban ki Moon kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nangwanda sijaona
 
kutambuana sio lengo mojawapo la hao unaowahita mashushushu,
unless labda wako katika operation moja kwa wakati huo,


actually shushushu sio mtu special saana kama mnavyodhania,sema tu wako trained kwa kazi wanayoifanya,
sawa na injinia alivyo trained kwa kazi yake
Wanasomea wapi mkuu?
 
Nadhani swali la mtoa mada hujalielewa vizuri though kwa nadhalia ya mwanajeshi kwa mwanajeshi au askari polisi kwa askari polisi hutambuana kwa vitu vichache tu
wakiulizana au by body
language wanatambuana. Swali la mkuu Igwe limebase kwa
mashushushu "spies" watu ambao hutumwa mahali au nchi ya kigeni kwaajili ya kukusanya
habari muhimu kwa nchi yake wanatambuana?
Kama hii ndio maana ake basi
kutambuana ni ngumu sana mpaka mmoja atakapoamua
kujireveal kwa mwenzake. Hii inatokana na usiri wa kazi yenyewe na consequences zake incase ukijulikana kukusanya
habari kwa manufaa ya nchi
nyingine. Mara nyingi adhabu yake ni kifo au ukionekana unaweza ukatoa mchango nkubwa kwa waliokukamata wanaweza wakakugeuza kuwa
double agent, yaani nao wakawa wanakutumia katika kuwapa habari za nchi yako kwa malipo maalumu.


Daah sasa mfano wale waliokamatwa kule Malawi wangekua ni spies kweli tuseme ndio wangegeuzwa kuwa Double Agents daah hatare sene kumbe
 
Daah sasa mfano wale waliokamatwa kule Malawi wangekua ni spies kweli tuseme ndio wangegeuzwa kuwa Double Agents daah hatare sene kumbe
Hao tusiwaongelee. Let's talk about the issues that have already been declassified.
 
Mafunzo yao kwa ujumla yanafanana ingawa kuna tofauti ndogo ndogo. Ndio maana dunia nzima wanajuana kwa special code ambazo mtu wa kawaida hupaswi kuzijua na hii ni kwa usalama wako wewe raia.
 
Back
Top Bottom