Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbna hata vibaka wanatumia mbinu hii?shushu mzuri ni yule anaeweza kujiblend katika watu na asiweze kutambulika iwe na mtu wa kawaida ama na shushu mwenzake.
Shushu anamtambua shushu mwenzake kama atakosea akajiexpose,
mfano kama shushu mmoja anahofia kuwa anafuatwa na mashushu wengine,atakachofanya ni kurun Surveillance Detection Run(SDR),
yaani anaweza kuwa anatembea,ghafla akageuka na kurudi alikotoka,kisha ghafla akadandia bodaboda akifika mtaa unaofuata atandandia daladala,kisha likisimama kituoni,atashuska dakika za mwisho,
ataingia kwa mfano bar na kukaa sehemu anayoweza kuona kila anaeingia,
sasa kama wewe ni shushu njaa,atakung'amua mapema tu kwamba i have grown a tail,yaani kuna mtu anamfuata,
ndo maana wenzetu sikuhizi wanatumia drone kufuatilia mtu,maana shushu makini huwezi kumfuata atakugundua tu
O07 HB balaa na anawala vizuri tuSura za kikauzu ni bongo tu.
shushu mzuri ni yule anaeweza kujiblend katika watu na asiweze kutambulika iwe na mtu wa kawaida ama na shushu mwenzake.
Shushu anamtambua shushu mwenzake kama atakosea akajiexpose,
mfano kama shushu mmoja anahofia kuwa anafuatwa na mashushu wengine,atakachofanya ni kurun Surveillance Detection Run(SDR),
yaani anaweza kuwa anatembea,ghafla akageuka na kurudi alikotoka,kisha ghafla akadandia bodaboda akifika mtaa unaofuata atandandia daladala,kisha likisimama kituoni,atashuska dakika za mwisho,
ataingia kwa mfano bar na kukaa sehemu anayoweza kuona kila anaeingia,
sasa kama wewe ni shushu njaa,atakung'amua mapema tu kwamba i have grown a tail,yaani kuna mtu anamfuata,
ndo maana wenzetu sikuhizi wanatumia drone kufuatilia mtu,maana shushu makini huwezi kumfuata atakugundua tu
Surveillance Detection - 10 Things You Need To Know.Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu hiyo "SURVEILLANCE DETECTION RUN" ni nini hasa?
Wale wasiofunga vifungo vya makoti yao, mara nyingi ni PSU ambao wanafanya vile kujiweka tayari wakati wowote kuweza kumkabili adui kwa kutoa silaha toka kiunoni au kwenye makoti yao.Nahisi inategemea na kitengo gani..mfn wale wa suti wengi hawafungi vifungo huwa (nasikia) anaweza kushika upande mmoja wa koti au kuweka tai sawa kumbe hapo ndio washaongea tayari na kutambuana..(sijui kweli)
kutambuana sio lengo mojawapo la hao unaowahita mashushushu,Nahisi inategemea na kitengo gani..mfn wale wa suti wengi hawafungi vifungo huwa (nasikia) anaweza kushika upande mmoja wa koti au kuweka tai sawa kumbe hapo ndio washaongea tayari na kutambuana..(sijui kweli)
Nadhani swali la mtoa mada hujalielewa vizuri though kwa nadhalia ya mwanajeshi kwa mwanajeshi au askari polisi kwa askari polisi hutambuana kwa vitu vichache tu wakiulizana au by body language wanatambuana. Swali la mkuu Igwe limebase kwa mashushushu "spies" watu ambao hutumwa mahali au nchi ya kigeni kwaajili ya kukusanya habari muhimu kwa nchi yake wanatambuana?Kuna codes, siyo kwa shushuu tu hata kwa watu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Pia kuna general codes kwa wote wanaelewana (askari, trafic, mwana jeshi)
KADA
Ndo uspecial huo bosskutambuana sio lengo mojawapo la hao unaowahita mashushushu,
unless labda wako katika operation moja kwa wakati huo,
actually shushushu sio mtu special saana kama mnavyodhania,sema tu wako trained kwa kazi wanayoifanya,
sawa na injinia alivyo trained kwa kazi yake
Hata mi najua hivyo.Kuna codes, siyo kwa shushuu tu hata kwa watu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Pia kuna general codes kwa wote wanaelewana (askari, trafic, mwana jeshi)
KADA
Adui pia anaweza kuwa na tabia hizi anapokuwa katika mazingira fulaniThe only way Mashushushu wanaweza kutambuana ni pale wanapoingia wote kwenye operesheni katika eneo moja au wanapowindana. Shushushu akiwa kwenye operesheni lazima akifika sehemu asome mazingira. KAtika kusoma mazingira anaweza kuona kwamba kuna mtu ana characteristic fulani ambazo zipo out of place katika watu waliopo pale anaweza akawa yupo too careful au amejiposition mkao fulani wa kuzuga..
Jidanganye....
Jidanganye....
Wewe unapsjua wapi?Halafu ni wapi wanasomea hii kitu jamani? Navutiwa na kuwa shushushu
Humuamini aliyekwambia?Nahisi inategemea na kitengo gani..mfn wale wa suti wengi hawafungi vifungo huwa (nasikia) anaweza kushika upande mmoja wa koti au kuweka tai sawa kumbe hapo ndio washaongea tayari na kutambuana..(sijui kweli)
Wambeya fulani hivi amazing..[emoji23][emoji23][emoji23]Samahani mashushu ndo watu gani
yes very true lakini that is the starting point ...Adui pia anaweza kuwa na tabia hizi anapokuwa katika mazingira fulani