OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mtoa maada umewaza nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaovaa mashuka!Samahani mashushu ndo watu gani
Mkuu mbona Mkoani mara huko Wanajeshi na Polisi walichapana Risasi inamaana codes hawakutambuana ama??Kuna codes, siyo kwa shushuu tu hata kwa watu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Pia kuna general codes kwa wote wanaelewana (askari, trafic, mwana jeshi)
KADA
shushu mzuri ni yule anaeweza kujiblend katika watu na asiweze kutambulika iwe na mtu wa kawaida ama na shushu mwenzake.sura za kikauzu.....[emoji19]
Big upshushu mzuri ni yule anaeweza kujiblend katika watu na asiweze kutambulika iwe na mtu wa kawaida ama na shushu mwenzake.
Shushu anamtambua shushu mwenzake kama atakosea akajiexpose,
mfano kama shushu mmoja anahofia kuwa anafuatwa na mashushu wengine,atakachofanya ni kurun Surveillance Detection Run(SDR),
yaani anaweza kuwa anatembea,ghafla akageuka na kurudi alikotoka,kisha ghafla akadandia bodaboda akifika mtaa unaofuata atandandia daladala,kisha likisimama kituoni,atashuska dakika za mwisho,
ataingia kwa mfano bar na kukaa sehemu anayoweza kuona kila anaeingia,
sasa kama wewe ni shushu njaa,atakung'amua mapema tu kwamba i have grown a tail,yaani kuna mtu anamfuata,
ndo maana wenzetu sikuhizi wanatumia drone kufuatilia mtu,maana shushu makini huwezi kumfuata atakugundua tu
Achana na mwehu huyo, uanajeshi na upolisi wapi na wapi?Mkuu mbona Mkoani mara huko Wanajeshi na Polisi walichapana Risasi inamaana codes hawakutambuana ama??
Huyo ni LOWSA yupo kwenye katafunuaPia hapo vipi
Yupo kitandani kamlalia mamaako aiseeHuyo ni LOWSA yupo kwenye katafunua
shushu mzuri ni yule anaeweza kujiblend katika watu na asiweze kutambulika iwe na mtu wa kawaida ama na shushu mwenzake.
Shushu anamtambua shushu mwenzake kama atakosea akajiexpose,
mfano kama shushu mmoja anahofia kuwa anafuatwa na mashushu wengine,atakachofanya ni kurun Surveillance Detection Run(SDR),
yaani anaweza kuwa anatembea,ghafla akageuka na kurudi alikotoka,kisha ghafla akadandia bodaboda akifika mtaa unaofuata atandandia daladala,kisha likisimama kituoni,atashuska dakika za mwisho,
ataingia kwa mfano bar na kukaa sehemu anayoweza kuona kila anaeingia,
sasa kama wewe ni shushu njaa,atakung'amua mapema tu kwamba i have grown a tail,yaani kuna mtu anamfuata,
ndo maana wenzetu sikuhizi wanatumia drone kufuatilia mtu,maana shushu makini huwezi kumfuata atakugundua tu
Mkuu hiyo ni movie gani?shushu mzuri ni yule anaeweza kujiblend katika watu na asiweze kutambulika iwe na mtu wa kawaida ama na shushu mwenzake.

RightSpies
Drone? Itazunguka katikati ya jiji? Eg Dar?shushu mzuri ni yule anaeweza kujiblend katika watu na asiweze kutambulika iwe na mtu wa kawaida ama na shushu mwenzake.
Shushu anamtambua shushu mwenzake kama atakosea akajiexpose,
mfano kama shushu mmoja anahofia kuwa anafuatwa na mashushu wengine,atakachofanya ni kurun Surveillance Detection Run(SDR),
yaani anaweza kuwa anatembea,ghafla akageuka na kurudi alikotoka,kisha ghafla akadandia bodaboda akifika mtaa unaofuata atandandia daladala,kisha likisimama kituoni,atashuska dakika za mwisho,
ataingia kwa mfano bar na kukaa sehemu anayoweza kuona kila anaeingia,
sasa kama wewe ni shushu njaa,atakung'amua mapema tu kwamba i have grown a tail,yaani kuna mtu anamfuata,
ndo maana wenzetu sikuhizi wanatumia drone kufuatilia mtu,maana shushu makini huwezi kumfuata atakugundua tu
sana tu,drone inakufuata na huoni,maana iko juu mno,na hata vile vidogo haviwi juu sana ila kuviona pia kazi,disadvantage ya drone ukiingia ndani haviwezi,ila ukitoka nje vina wewe,Drone? Itazunguka katikati ya jiji? Eg Dar?
Aisee!!!jf
Kuna minong'ono kadhaa jinsi ya maafisa hao wanavyoweza kutambuana popote pale duniani wengine wanasema wana lugha zao wengine kwa kuangaliana tu ,wajuvi wa mambo wanijuze katika somo hili