Napenda kujua kwa namna gani mashushushu duniani wanaweza kutambuana

shushu mzuri ni yule anaeweza kujiblend katika watu na asiweze kutambulika iwe na mtu wa kawaida ama na shushu mwenzake.
Shushu anamtambua shushu mwenzake kama atakosea akajiexpose,
mfano kama shushu mmoja anahofia kuwa anafuatwa na mashushu wengine,atakachofanya ni kurun Surveillance Detection Run(SDR),
yaani anaweza kuwa anatembea,ghafla akageuka na kurudi alikotoka,kisha ghafla akadandia bodaboda akifika mtaa unaofuata atandandia daladala,kisha likisimama kituoni,atashuska dakika za mwisho,
ataingia kwa mfano bar na kukaa sehemu anayoweza kuona kila anaeingia,
sasa kama wewe ni shushu njaa,atakung'amua mapema tu kwamba i have grown a tail,yaani kuna mtu anamfuata,
ndo maana wenzetu sikuhizi wanatumia drone kufuatilia mtu,maana shushu makini huwezi kumfuata atakugundua tu
Asanteeee!!!
 
hahahah eti "shushu"
 
Wakusanyaji, wachambuzi na wawasilishaji wa taarifa za usalama wa taifa kwa njia za siri (clandestine methods) kwa jina la kimombo huitwa spiers
Spies sio spiers mkuu
 
shushu mzuri ni yule anaeweza kujiblend katika watu na asiweze kutambulika iwe na mtu wa kawaida ama na shushu mwenzake.
Shushu anamtambua shushu mwenzake kama atakosea akajiexpose,
mfano kama shushu mmoja anahofia kuwa anafuatwa na mashushu wengine,atakachofanya ni kurun Surveillance Detection Run(SDR),
yaani anaweza kuwa anatembea,ghafla akageuka na kurudi alikotoka,kisha ghafla akadandia bodaboda akifika mtaa unaofuata atandandia daladala,kisha likisimama kituoni,atashuska dakika za mwisho,
ataingia kwa mfano bar na kukaa sehemu anayoweza kuona kila anaeingia,
sasa kama wewe ni shushu njaa,atakung'amua mapema tu kwamba i have grown a tail,yaani kuna mtu anamfuata,
ndo maana wenzetu sikuhizi wanatumia drone kufuatilia mtu,maana shushu makini huwezi kumfuata atakugundua tu
Kijana uko vizur
 
sana tu,drone inakufuata na huoni,maana iko juu mno,na hata vile vidogo haviwi juu sana ila kuviona pia kazi,disadvantage ya drone ukiingia ndani haviwezi,ila ukitoka nje vina wewe,
na sasa kama drone iko networked na CCTV ,kila utakapopita mbele ya camera mtaani picha itanaswa na wannajua ulipo mda wote,hivi vidrone vimekalili hadi mtembeo wako ,kwahiyo hata ujibadili sura bado wanaweza kukunasa,either kwa jinsi unavyotembea ama kwa kuzoom kuangalia macho yako kama hujavaa sungoogles
Kuna drone zipo kama wadudu au ndege zinaingia had ndan angalia movie inaitwa Eye in the sky
 
hizo bado kuwa applied kijeshi,maana drone mdudu hana betri ya kutosha kufanya surveillance kwa mda mrefu,ila wameanza kuunda drone za kutumia solar japo hazijaanza kutumika labda kama wataaply solar technology kwa hizi ndo zitaweza
 
Una maana gani kusema wa kwetu ni too local? Actually kama ni watanzania, lazima wawe local maana mtanzania ni locally Tanzanian. Unless kwako neno local ina maana nyingine au huwezi kuona kizuri kwa chochote kinachofanywa na mtanzania.
Mkuu watu kama hao achana nao tu maana akili yao ni mbovu. kwao wao lolote analofanya mzungu au rai wa kigeni ni zuri hata kama ni hovyo. hawajui kwamba mbinu na nyenzo za kazi hiyo ni sawa tu duiniani kote, tofauti ni vipaumbele, rasilimali (teknolojia na fedha), na mazingira.......
 
Wanapenda kujifanya magentlemen au charming hasa pale wanapotaka kukutumia, wanakuwa na ratiba ambazo wewe huzielewi, wanaongea shortcut sana, ukimuuliza swali anajibu short cut bila maelezo ya kujitosheleza, pia wana sifa ya kutembea na magazeti wakijifanya kusoma kwenye vituo vya usafiri au vya kupumzikia, wanapenda kujikausha sana kama hawajali au hawafahamiani na mtu yeyote yule.
 
Back
Top Bottom