Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
teh teh teh hizo walaa. Angalia akikaa baa cheki exit zilipo na angalia amekaa wapi na je ana access na exit zote?😀Mie nikiona kavaa kaunda suti kaweka na pen kwenye shati kisha kanyoa ndevu zote na nywele kapiga unga nakimbia fasta hapo maana utakuwa unadukuliwa .
Ndo maana nimeulizaWewe unapsjua wapi?
Halafu ni wapi wanasomea hii kitu jamani? Navutiwa na kuwa shushushu
Je wanchukua mtu yeyote bilan kuzingatia umri?kwa nchi yetu,watakutafuta wenyewe,unaweza ukawa shule wakakustudy na kuona unafaa,ukawa informer,baadae ukapata training na kuendelea,
kama tu unataka kuwa detective si unaanzia polisi then unaweza kuwekwa criminal investigation,
kwa nchi kama marekani wao unaweza kuapply,
How to Become a CIA Agent | CIA Agent Education
hata humu wamo wanawaangalia tu mnavyohangaika kuwajua.
hivi yule mkurugenzi wa NIDA aliteuliwa kuwa nani vile???
be carefully......
Ngoja nianze kuwafuatilia mdogo mdogo huenda nikajua dalili fulani fulani za kuwatambua!
Wanasomea wapi mkuu?kutambuana sio lengo mojawapo la hao unaowahita mashushushu,
unless labda wako katika operation moja kwa wakati huo,
actually shushushu sio mtu special saana kama mnavyodhania,sema tu wako trained kwa kazi wanayoifanya,
sawa na injinia alivyo trained kwa kazi yake
Nadhani swali la mtoa mada hujalielewa vizuri though kwa nadhalia ya mwanajeshi kwa mwanajeshi au askari polisi kwa askari polisi hutambuana kwa vitu vichache tu
wakiulizana au by body
language wanatambuana. Swali la mkuu Igwe limebase kwa
mashushushu "spies" watu ambao hutumwa mahali au nchi ya kigeni kwaajili ya kukusanya
habari muhimu kwa nchi yake wanatambuana?
Kama hii ndio maana ake basi
kutambuana ni ngumu sana mpaka mmoja atakapoamua
kujireveal kwa mwenzake. Hii inatokana na usiri wa kazi yenyewe na consequences zake incase ukijulikana kukusanya
habari kwa manufaa ya nchi
nyingine. Mara nyingi adhabu yake ni kifo au ukionekana unaweza ukatoa mchango nkubwa kwa waliokukamata wanaweza wakakugeuza kuwa
double agent, yaani nao wakawa wanakutumia katika kuwapa habari za nchi yako kwa malipo maalumu.
Hao tusiwaongelee. Let's talk about the issues that have already been declassified.Daah sasa mfano wale waliokamatwa kule Malawi wangekua ni spies kweli tuseme ndio wangegeuzwa kuwa Double Agents daah hatare sene kumbe
Hao tusiwaongelee. Let's talk about the issues that have already been declassified.[/QUOT
Haya basi sawa
push up kwenye godoroHao jamaa hawapendani kama paka na panya!! Hata sisi jeshini tulifundishwa kuwachukia sana hao watu