Napenda kujua zaidi kuhusu kabila la Wabondei

Ninae mmoja mchepuko wang yan ni headache. Bora hata ningebak njia kuu. Mchepuko wa kibondei
Wanaomba sana hela yan vizinga jata vinne ndan ya siku moja. Halaf mbaya zaid hela anazotaka ni akasherehekee na mashosti zake.
Tena akukamue vizuri tu si umemfanya kipozeo.
 
Umesahau ukoo wa Mzee Tawi Vesso,Mzee Zumo.Hawa wadigo wamwanzo kabisa kupokea injili
 
[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21] narud njia kuu kesho
Sky Eclat asikudanganye huyo, kwa mdogo wako amedata tu! Kilichompeleka kimeisha? Njia kuu zina karaha sana maana kila siku kuomba inachosha. Muulize kwa mdogo wako kila siku kumtafuta aje ajilie kiroho safiiiii
 
Ninae mmoja mchepuko wang yan ni headache. Bora hata ningebak njia kuu. Mchepuko wa kibondei
Wanaomba sana hela yan vizinga jata vinne ndan ya siku moja. Halaf mbaya zaid hela anazotaka ni akasherehekee na mashosti zake.
Sisi wanaume sijui huwa tunakosea wapi, badala ya kutafuta solution unalalamika, hilo tatizo la kukupiga mizinga unaweza kulitatua, kwann usimweke chini huyo mchepuko na kumpa ushauri, au mfungulie biashara atakayo isimamia ya kumwingizia kipato achane kukupiga mizinga...
 
Ni moja ya makabila ya kwanza kupata elimu. Baada ya uhuru wengi walikuwa serikalini. Ni waaminifu mno wakistaafu hata kalamu aliyotumia ataiacha mezani.
Haha kweli Dada ndio maana ingawaje ni wa kwanza kwenda shule na kufanya kazi serekalini lakini wengi wa wastaafu hali zao sio nzuri. Refer spika Mang'enya
 
Haha kweli Dada ndio maana ingawaje ni wa kwanza kwenda shule na kufanya kazi serekalini lakini wengi wa wastaafu hali zao sio nzuri. Refer spika Mang'enya
Walikuwa na uaminifu mkubwa mno, nidhamu ya elimu ya mkoloni.
 
Siwezi nikamfungulia biashara mchepuko. Ni kumkanya tu kuwa tabia yake siipendi. Biashara anafunguliwa njia kuu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…