Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Kama ni hivyo isipungue meta nane kati ya mti na mti. Ili ufanye kilimo chenye tija jitahidi uwe na walau minazi 300 hapo utaona faida yake...niliuliza kwasababu nataka kuibananisha eneo langu ni dogo.