sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki.
Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake.
huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata fulani, nawaomba wanipe ruhusa niweze kuongea machache pembeni na mwenzao lengo likiwa ni kujitambulisha kidogo, story fupi na kupeana mawasiliano ama kama hayupo interested mambo yaishie hapo mapema.
Faida zake ni kwamba nakuwa nimewajua watu wake wa karibu, hii huwa nanisaidia sana kiukweli, hasa kwenue tahadhari
Hasara zake kuna muda marafiki zake wanaweza kukuchezea michezo uingie kingi endapo wamegombana na mwenzao au wanamuonea wivu, hasara nyingine mkiachana unajikuta unaingia tamaa ya kulipiza kisasi kwa kujaribu kutoka na rafiki zake (huu ujinga niliwahi kuufanya nikiwa chuoni,