Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

Napenda kuuliza kwa unyenyekevu, Polisi analipwa sh ngapi kwa mwezi?

Polisi ni kada takatifu..... Tuwapende.
Wanavurugwa na maagizo kutoka juu.
 
Mshahara wa polisi upo katikati ya ule wa barmaid na ule wa mwalimu wa primary (st. Kayumba).
 
Back
Top Bottom