GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Utani wa kweli hahahaa. Kwa hiyo Simba hatujatoboa kwenda ahahaaa, ikiwa umeshindwa kutuliza komwe la Kamwe basi tuliza komwe lako, unyama mwingi tupo makundi makelele ya vyura hayatuhusu.Huu utani Umenimaliza kweli kweli kwani ni wa Ukweli na kila nikiukumbuka najikuta Ninacheka tu.
Aahaaaaaaa"Wana Yanga SC tumetinga Group Stage ya CAFCL na tunatumiana tu Clips za Magoli yetu hebu tuwaombe pia na Wenzetu nao watutumie Clips za Magoli yao yaliyowapeleka Kibahati Makundi CAFCL kama Sisi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe.
Huu utani Umenimaliza kweli kweli kwani ni wa Ukweli na kila nikiukumbuka najikuta Ninacheka tu.
Yaani acha tu.Timu imefuzu makundi bila hata kushinda mechi[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 We nawe kwa vichekeshoMkae kww kutulia.
Yanga inaenda kufika nusu fainali na hata fainali, tunaenda kupunguza kelele za kuishia robo fainali
Nilitaka kuandika hivyoVipi pia kama Enock Inonga asingejifunga kule Zambia? Hali ya Power Dyanamos ingekuwaje?
Anyway, nimesahau kama nyie ni NYANI, hivyo uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo.
Kwani hao yanga si ndio huwa wanasema kuwa wao huwa wanaongea yao tu ila simba hawezi ongeabyao bila kuwahusisha wao(yanga)"Wana Yanga SC tumetinga Group Stage ya CAFCL na tunatumiana tu Clips za Magoli yetu hebu tuwaombe pia na Wenzetu nao watutumie Clips za Magoli yao yaliyowapeleka Kibahati Makundi CAFCL kama Sisi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe.
Huu utani Umenimaliza kweli kweli kwani ni wa Ukweli na kila nikiukumbuka najikuta Ninacheka tu.
Mpira ni mchezo wa kanuni,timu zinafuzu kwamujibu wa kanuniTimu imefuzu makundi bila hata kushinda mechi[emoji23][emoji23]
Malizia chawa mbobezi anayeishi kwa shemejiGenta jitu lenye akili nyingi spy mbobevu, jamàa tayark wameshaquote taarifa Yako ya wachezaji wa Simba kutokuwa na furaha na kocha na Baleke, rejea inst yanga Whatsapp makao makuu wamecopy taarifa yako bila kibali chako , genius jitu lenye akili nyingi bachelor aliyekubuhu kijana anayezeeka bila kutengeneza familia, degree holder asiyemiliki walau kavits,
Idiot.UTOTO Raha sana yani dahhhhhhh!!!!!