Napenda mno Kuwatania wana Yanga SC hapa JamiiForums, ila huu Utani wa Msemaji wao Ali Kamwe kwa Simba SC tuupokee tu kwani ni Ukweli mtupu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Wana Yanga SC tumetinga Group Stage ya CAFCL na tunatumiana tu Clips za Magoli yetu hebu tuwaombe pia na Wenzetu nao watutumie Clips za Magoli yao yaliyowapeleka Kibahati Makundi CAFCL kama Sisi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe.

Huu utani Umenimaliza kweli kweli kwani ni wa Ukweli na kila nikiukumbuka najikuta Ninacheka tu.
 
Utani wa kweli hahahaa. Kwa hiyo Simba hatujatoboa kwenda ahahaaa, ikiwa umeshindwa kutuliza komwe la Kamwe basi tuliza komwe lako, unyama mwingi tupo makundi makelele ya vyura hayatuhusu.
 
"Wana Yanga SC tumetinga Group Stage ya CAFCL na tunatumiana tu Clips za Magoli yetu hebu tuwaombe pia na Wenzetu nao watutumie Clips za Magoli yao yaliyowapeleka Kibahati Makundi CAFCL kama Sisi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe.

Huu utani Umenimaliza kweli kweli kwani ni wa Ukweli na kila nikiukumbuka najikuta Ninacheka tu.
Aahaaaaaaa
 
Laiti mpira ungekuwa unachezwa mdomoni sawa.....maneno huwa hayamaliziki.....
Muda ndo msema ukweli zaidi
 
Genta jitu lenye akili nyingi spy mbobevu, jamàa tayark wameshaquote taarifa Yako ya wachezaji wa Simba kutokuwa na furaha na kocha na Baleke, rejea inst yanga Whatsapp makao makuu wamecopy taarifa yako bila kibali chako , genius jitu lenye akili nyingi bachelor aliyekubuhu kijana anayezeeka bila kutengeneza familia, degree holder asiyemiliki walau kavits,
 
"Wana Yanga SC tumetinga Group Stage ya CAFCL na tunatumiana tu Clips za Magoli yetu hebu tuwaombe pia na Wenzetu nao watutumie Clips za Magoli yao yaliyowapeleka Kibahati Makundi CAFCL kama Sisi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe.

Huu utani Umenimaliza kweli kweli kwani ni wa Ukweli na kila nikiukumbuka najikuta Ninacheka tu.
Kwani hao yanga si ndio huwa wanasema kuwa wao huwa wanaongea yao tu ila simba hawezi ongeabyao bila kuwahusisha wao(yanga)
 
Simba kafunga Goli 2 Zambia.
Yanga kafunga goli 2 Rwanda.

Simba kafunga goli 1 Tz
Yanga kafunga goli 1 Tz.
Tofauti tu SIMBA kacheza na Bingwa wa Zambia.
Yanga kacheza na timu ILYOTEULIWA bila kucheza ligi ya Nchi yake.
Anayebisha atwambie Mereikh ni Bingwa wa Nchi gani katika Ligi ipi.
Taahira na Mpumbavu wa Mpira ndiye anaweza kuikebehi Simba over.
Ili Yanga awe na Ubavu wa Kuisema Mbovu Simba amantain ubora wake kwa Miaka 6 akiwa anafika Robo faiinali ya CAFCL yaani 2029 huko otherwise kae kimiaaaa. Simba is next level
 
Genta jitu lenye akili nyingi spy mbobevu, jamàa tayark wameshaquote taarifa Yako ya wachezaji wa Simba kutokuwa na furaha na kocha na Baleke, rejea inst yanga Whatsapp makao makuu wamecopy taarifa yako bila kibali chako , genius jitu lenye akili nyingi bachelor aliyekubuhu kijana anayezeeka bila kutengeneza familia, degree holder asiyemiliki walau kavits,
Malizia chawa mbobezi anayeishi kwa shemeji
 
Back
Top Bottom