Yaan ninachosikitika juu yako hujawahi kuwa serious hata kidogoJaribu na gongo tuone
Kwenye gemu unakuaje heb tupe experience... Maana mim nikinywaga kinywaj chenye zaid ya 35+ alcohol.. shugul yake huwa si yakitotoNapenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine [emoji485] kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty...
Mungu akupiganie dear,konyagi siyo nzuri kiafya inaunguza ini Moja Kwa Moja....kusikia joto huenda ni dalili ya kuanza kuathiriwaReally? Nitajitahidi kupunguza, ila bia sitaki kabisa nanenepa haraka
Hayo maini yanaselebukaje + kushikilia figo lazima jasho likutoke.Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty...
Poa nipe locationSawa. Mwambie mama yako awe ananiletea, maana sijui kwa kuikuta
Dear gambeKuna kitu unaunguza mwilini cute....Kuna maradhi yanataka kuibuka daa....plz upunguze au uache mama
Jaman,usimshauri ivo mkuuHayo maini yanaselebukaje + kushikilia figo lazima jasho likutoke
Anyway hao wanaokwambia magonjwa achana nao usipokufa kwa hiyo pombe, mzembe barabarani atakugonga, mara ulishwe sumu, mara urogwe so keep doing what you like
Ndio Afya hiyo we bondaaa tu.Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
Kunywa maji mengi na punguza idadi ya vichupa na infact kuvuja jasho ni jambo jema ili isizidi sanaNapenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine [emoji485] kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty...
OkYaan ninachosikitika juu yako hujawahi kuwa serious hata kidogo
Em niusikie ushauri wako bibiye?Jaman,usimshauri ivo mkuu