Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Mtoa mada hiyo ni hali ya kawaida sana, kitaalamu ini linapoanza kuchakata pombe uliyokunywa joto huongezeka kwahyo mwili unatengeneza njia ya kupunguza joto hilo na hulitoa kwa njia ya jasho

Binafsi huwa natumia sana hiyo cocktail yako na huwa nina experience the same...kikubwa jitahidi kunywa maji mengi
 
Kunywa zaidi,body temp itapungua yenyewe, afu try gongo ni nzuri pia
 
Ni hali ya kawaida hiyo wala isikutishe. Hapo inadhibitisha jinsi mwili unavyorespond positively with internal environment. Hupaswi kua na wasiwasi maana ini, figo n.k vinachapa kazi sawasawa.
 
Tatizo hapo sio pombe. Tatizo ni wewe na akili yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…