Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine ๐Ÿท, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16ยฐC

Nimeacha michanganyo nilikuwa nachanganya mpaka na valuer na dompo au safari.. Hiyo mixer lazima usiku u sweat sana
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Valuer na Dompo lazima upate kiu kuu
 
Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine ๐Ÿท kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.

Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.

Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16ยฐ Centigrade.
Mkuu unakunywa maji lakini....vip kuhusu interval yako ya unywaji.....
Unakunywa Kila siku au....

Jarib kuchanganya na energy drink ๐Ÿท

Kama ni daily routine yako ujaribu kwenda kuchek FIGO
Maana ishu ya kusweat sana na kukojoa mara Kwa mara ni dalili ya mwanzo mwanzo za matatizo ya FIGO...
 
Mimi nakunywa kila siku Black&white ,ila lazima nimalize lita 5 za maji na mazoezi haswaaa,pushups 500 na kukimbia na kutembea km 15,hiyo ni kila siku ,mwaka wa 13 sasa sijawahi sikia hayo matatizo japo huwa napiga kavu
 
wee nichizi.limalaya ndio Mana hujaolewa Hadi sasa nihio mipombe yako.

nyie ndio wale mnao fokolewa mitalo mkilewa coz mnakuwaga hamjitambui.

iposiku utafia chumbani mbwa wee mwanamke unafanya uhuni Hadi wakuchanganya mipombe. vituvingine si ushaamaliza vyote wewe

hata utepe wapua na masikio huna achilia mbali mtaro huo.
 
Upo vzr sanaa mkuu ๐Ÿท๐Ÿท๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค“๐Ÿค“
 
wee nichizi.limalaya ndio Mana hujaolewa Hadi sasa nihio mipombe yako.

nyie ndio wale mnao fokolewa mitalo mkilewa coz mnakuwaga hamjitambui.

iposiku utafia chumbani mbwa wee mwanamke unafanya uhuni Hadi wakuchanganya mipombe. vituvingine si ushaamaliza vyote wewe

hata utepe wapua na masikio huna achilia mbali mtaro huo.
Tuondoke huku kwenye kutukanana
To avoid criticism, say nothing, do nothing, be nothing" - Aristotle

๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿค“๐Ÿค 
 
Kuna kitu unaunguza mwilini cute....Kuna maradhi yanataka kuibuka daa....plz upunguze au uache mama
Huu ni ushauri wa hovyo kabisa kupata kutokea, eti punguza au Acha kabiss......... aaaaagh!
 
Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine ๐Ÿท kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.

Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.

Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16ยฐ Centigrade.
Trust me ushaua Figo ,no way lazma utoe jasho dear otherwise you will die soon
 
Piga vyombo, ukimaliza chukua hii lodwaa kunywa usafishe mwili.
IMG_20230303_101738.jpg
 
Back
Top Bottom