Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
๐๐๐๐ Valuer na Dompo lazima upate kiu kuuNimeacha michanganyo nilikuwa nachanganya mpaka na valuer na dompo au safari.. Hiyo mixer lazima usiku u sweat sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐ Valuer na Dompo lazima upate kiu kuuNimeacha michanganyo nilikuwa nachanganya mpaka na valuer na dompo au safari.. Hiyo mixer lazima usiku u sweat sana
The spirit of the Nation,๐Sure. Konyagi inaburudisha hasa
Mkuu unakunywa maji lakini....vip kuhusu interval yako ya unywaji.....Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine ๐ท kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16ยฐ Centigrade.
Liquor zisingekuwepo ulimwengu ungepooza Sana!Welcome to the world of liquor!๐
Ni hali ya kawaida endelea kuenjoy mkuu!..cheers๐ฅ
Sijui tungeishi vipi...cant even imagine๐ฅLiquor zisingekuwepo ulimwengu ungepooza Sana!
Usipo kunywa maji mengi lazima kichwa kiume...๐๐๐๐ Valuer na Dompo lazima upate kiu kuu
Tutakunywa tu maji mengi kwa kweliUsipo kunywa maji mengi lazima kichwa kiume...
Yaani๐wacha tuendelee zetuSijui tungeishi vipi...cant even imagine๐ฅ
Sure!Risk taking women tunakutana na magumu sana na hujui umwambie nani? Then you decide to talk to mapombe
Upo vzr sanaa mkuu ๐ท๐ท๐ค ๐ค ๐ค๐คMimi nakunywa kila siku Black&white ,ila lazima nimalize lita 5 za maji na mazoezi haswaaa,pushups 500 na kukimbia na kutembea km 15,hiyo ni kila siku ,mwaka wa 13 sasa sijawahi sikia hayo matatizo japo huwa napiga kavu
Tuondoke huku kwenye kutukananawee nichizi.limalaya ndio Mana hujaolewa Hadi sasa nihio mipombe yako.
nyie ndio wale mnao fokolewa mitalo mkilewa coz mnakuwaga hamjitambui.
iposiku utafia chumbani mbwa wee mwanamke unafanya uhuni Hadi wakuchanganya mipombe. vituvingine si ushaamaliza vyote wewe
hata utepe wapua na masikio huna achilia mbali mtaro huo.
Huu ni ushauri wa hovyo kabisa kupata kutokea, eti punguza au Acha kabiss......... aaaaagh!Kuna kitu unaunguza mwilini cute....Kuna maradhi yanataka kuibuka daa....plz upunguze au uache mama
Trust me ushaua Figo ,no way lazma utoe jasho dear otherwise you will die soonNapenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine ๐ท kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16ยฐ Centigrade.
wee nini na wee?๐Tuondoke huku kwenye kutukanana
To avoid criticism, say nothing, do nothing, be nothing" - Aristotle
๐๐คฃ๐๐๐ค๐ค
AamenUsiache kunywa, tumeambiwa masikini tunywe tusahau shida zetu....
SawaHuu ni ushauri wa hovyo kabisa kupata kutokea, eti punguza au Acha kabiss......... aaaaagh!