Napenda sana mademu ila siwapati

Nikupe mademu,mwenzio nnao mpaka nimewachoka,sema tu uko wap nikupe namba zao
 
jenga nyumba ya wastani
nunua usafiri mdogo
fungua miradi midogomidogo
fanya mazoezi ,kula kwa afya ,vaa vzuri pendeza USISAHAU KUENDA IBADANI.
WATAKUJA WENGI KUKUTONGOZA MPAKA USHANGAE
 
Ukaacha? Nukia ki nivea bwana, unaonekana gentleman. Yaani tumia lotion ya NIVEA ile ya coconut utanishukuru. Kama ukikosa mpenzi niite mbwa nimekaa pale👉. Usivae kisharobaro maana NIVEA haiendani na masharobaro
hivi hyo nivea coconut ndio ile unapishana na mtu anannukia vzuri kama chocolate hv?
 
chief lesson ya wiki hii uliisoma?
 
nimeipenda hyo kuna utofauti wa shobo na kuchangamkia fursa lkwa watu potential sio mamanzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…