Napenda sana mademu ila siwapati

Napenda sana mademu ila siwapati

We chama si mmechukua kombe jana tu hapo. Tumia hiyo gia kuvuta babez
 
kuna mdada mmoja kila akija kanisani nikipishana nae huwa nasikia harufu yake kama chocolate hv,angekua pisi kali ningemfata kwa gia ya kuulizia marashi anayotumia
Kwa kuwa sio pisi qali huendi? 😂
 
Sweetheart, You know what to do, please.
Depal 🌹
Mimi sina body splash kwa sasa, only perfume.
Kuna body splash moja nilinunua elf 45, haikuwa nzuri sanaa namna nilitarajia. So ikanikata mno. Nimesusa kwa muda 😂 ila zipo zile za kiss nini sijui.. elf 10. Kuna mtu anaitumia moja namskia akinukia.. nitauliza jina. Hata yeye alinishangaa why nimechezea pesa kuchukua ya 45K wakati zipo za 10k nzuri.

Secret na garnier ni deodorant.. hapana duka utakosa
 
Okay,
Thanks baby!
 
Back
Top Bottom