Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Asante, situmii mikorogo hata hivyo.njoo pm nitakusaidia dawa. achana na mikorogo utajiharibu mrembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, situmii mikorogo hata hivyo.njoo pm nitakusaidia dawa. achana na mikorogo utajiharibu mrembo
sawa.Asante, situmii mikorogo hata hivyo.
Palmers, queen elizabeth hizi ni chache ambazo mimi nazifahamu na nilishawahi kutumiahv ile lotion ambayo inanukia vzuri kama chocolate ni ipi?
ni unisex ama?Palmers, queen elizabeth hizi ni chache ambazo mimi nazifahamu na nilishawahi kutumia
Palmers ni unisex 20kni unisex ama?
na bei zake je
zinanukia sana?Palmers ni unisex 20k
Queen Elizabeth 30k.
Hapana..jaman tupunguze chai kidogo,deodorant ya nivea kwan inanukia ukipishana na mtu?
Hapana, perfume ni muhimu pia.zinanukia sana?
hamja haja ya perfume?
Weka picha zake basi ili tuende exactly na recommendation zakoPalmers ni unisex 20k
Queen Elizabeth 30k.
lazma uwe na perfume au body splash nzuri zinazonukia muda mrefuHapana..
kuna mdada mmoja kila akija kanisani nikipishana nae huwa nasikia harufu yake kama chocolate hv,angekua pisi kali ningemfata kwa gia ya kuulizia marashi anayotumiaHapana, perfume ni muhimu pia.
Kwa kuwa sio pisi qali huendi? 😂kuna mdada mmoja kila akija kanisani nikipishana nae huwa nasikia harufu yake kama chocolate hv,angekua pisi kali ningemfata kwa gia ya kuulizia marashi anayotumia
Zinanukia akiwa ametoka kupaka baada ya muda harufu inapoa.jaman tupunguze chai kidogo,deodorant ya nivea kwan inanukia ukipishana na mtu?
Mimi sina body splash kwa sasa, only perfume.Sweetheart, You know what to do, please.
Depal 🌹
Okay,Mimi sina body splash kwa sasa, only perfume.
Kuna body splash moja nilinunua elf 45, haikuwa nzuri sanaa namna nilitarajia. So ikanikata mno. Nimesusa kwa muda 😂 ila zipo zile za kiss nini sijui.. elf 10. Kuna mtu anaitumia moja namskia akinukia.. nitauliza jina. Hata yeye alinishangaa why nimechezea pesa kuchukua ya 45K wakati zipo za 10k nzuri.
Secret na garnier ni deodorant.. hapana duka utakosa
Wananiogopa pia maana kuna mmoja wao alishawah nitafta akase.ma huwa wananiona npo serious sana na nina dharau maana sikai nao sanaKwa kuwa sio pisi qali huendi? 😂
Ah unaringa 😂Wananiogopa pia maana kuna mmoja wao alishawah nitafta akase.ma huwa wananiona npo serious sana na nina dharau maana sikai nao sana