acha uoga we wakiume ujueHahah hiyo hatari sana
Kila mtu na ngozi yake.Sana aisee, ila nikiwa Arusha nakuwaje Soft. Huku Dar ndio hakunipendi tu jamaniπ’π
sikuui fanya uje hutojutia hayo mamasaji ya usoπ€£π€£π€£utaniua
π€£Unanukia?
Kabisa, ila ngoja nione hii palmers itanifikisha wapiπ€.Kila mtu na ngozi yake.
Kuna wakati tulikuwa Makutupora Dom... nilitakata na hali ya hewa, ila wengine walifubaa hatari.
Na Arusha heri baridi, pakiwa na jua linasumbua pia.
Ahahah sio muoga mm ujue?acha uoga we wakiume ujue
yule wa malangoni?hujakubaliana na hali tu yule fulani humpati
mimi nataka lishangazi ladha tofautiπ
muoga sana usinipangeAhahah sio muoga mm ujue?
itakufikisha kwa Half americanKabisa, ila ngoja nione hii palmers itanifikisha wapiπ€.
Huko ulipo hapanipendi hata kidogo, nababuka sura yaani nakuwa na magamba kabisaπ€£π€£π€£sikuui fanya uje hutojutia hayo mamasaji ya uso
Ahaha nan kasema wewe acha zakomuoga sana usinipange
majini yapi tena au nawewe nikupe mzee wa mafao?Majini yapo πππ
we muoga muoga ona unavyoshtuka, kaza bob ππAhaha nan kasema wewe acha zako
Huu uzi akiutumia vibaya tutampoteza kijana mapema sanaMwambie aingie kwenye huu uzi apate connection za wadau ajilie mema ya Nchi
hatimaye ππSa itakuwaje π€??
Kuna kakitu ka usoni tuKabisa, ila ngoja nione hii palmers itanifikisha wapiπ€.
Ujue nipo na aproch dem humu akiona hivi si ananibwaga π acha zakowe muoga muoga ona unavyoshtuka, kaza bob ππ