Napenda sana mademu ila siwapati

Napenda sana mademu ila siwapati

Sana aisee, ila nikiwa Arusha nakuwaje Soft. Huku Dar ndio hakunipendi tu jamani😢😂
Kila mtu na ngozi yake.
Kuna wakati tulikuwa Makutupora Dom... nilitakata na hali ya hewa, ila wengine walifubaa hatari.
Na Arusha heri baridi, pakiwa na jua linasumbua pia.
 
Kila mtu na ngozi yake.
Kuna wakati tulikuwa Makutupora Dom... nilitakata na hali ya hewa, ila wengine walifubaa hatari.
Na Arusha heri baridi, pakiwa na jua linasumbua pia.
Kabisa, ila ngoja nione hii palmers itanifikisha wapi🤔.
 
Back
Top Bottom