Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

Napenda sana mavazi ya wanawake wa kiislamu hasa mambo safi

Wanawake wengi wa kikristoa wanepanda kukaa uchi kama barmedi.
Unataka kuniambia wameiga wazungu, harafu unakuta wanashikashika zile nywele zetu ngumu zilizolainishwa na madawa ya saloon na kuziteremsha kama wafanyavyo wazungu, harafu chini kapiga kimini na viatu vya kisigino kirefu fully ku-igiza kizungu teh! teh!
 
halafu ukute kavaa lile vazi jeusi halafu kafungasha wezele haswaa yani huwa na pizi kabisa hapo hapo juzi nusu nijikwae
 
Mkuu badili dini. Au na wewe jaribu cku kuvaa uone kama hutasifiwa.
 
UPO SAHIHI KABISA KATIKA POINTS MBILI,

1) Kwanza ni Ukweli ulio wazi kuwa wanawake wa kiislamu wanavutia sana wanavyovaa kiheshima...dah na zaidi ukikuta kaumbika na wezere lipo.

Mfano yule dada wa Shear Illussion sio siri she complete me coz hela ipo...uzuri upo na bado hana dharau.

2) Waislamu wengi walioshika dini haswa huwa hawana Maringo na Dharau. Unaweza kukuta ameinvest vya kutosha ila anaishi very normal life...unamkuta mrembo ofisini anakusikiliza na kukuhudumia bila mapozi ya kiboya.

NB: Ifahamike tu kuwa UISLAM sio MAVAZI pekee, ni imani na maisha kwa ujumla wake.

Shukraan,
Nimekuelewa Kaka....
 
13381432_1703098689954068_1436521328_n.jpg
ZINAPENDEZA SAANA HASA HIZI MODO NEW FASHEN NI BALAAA !
 
Ukweli ndio uko hivyo,
Mwanamke akijistiri anavutia mno kuzidi mwanamke aliejiachia,
Sasa unakuta wanawake wetu mavazi wanayovaa Bar, kanisani yako sawa,
Mtu anajiandaa kwenda kanisani anaanzia saloon, nywele Brazil, kucha, kope, vimini viatu, yaani hata akikaa kwenye viti vyao mapaja nje, akitoka hapo hata akienda Bar kuwa muhudumu hutashangaa,
Lakini Uislam ni stara kuanzia majumbani mpaka mitaani mpaka kwenye biashara, Uislam ni mfumo wa Maisha kamili
 
Nimeona kwanye comennt yako moja kwamba tumetegeneza family kwa miaka22 na tuna watoto wanne then unamkata na boyfriend, wewe utafanya nini jamaaa kamchora mpaka tattoo ya jina la wife wangu kifuani kwake; lakini bado wayakutana kimwili kutoka na hizi massage zao;
 
Ule ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.

So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
mQuran (neno) la MUNGU , ndilo linasema hivyo anaambiwa NABII WETU , WAAMBIE WATU WA NYUMBANI KWAKO WATEREMSHE SHUNGI ZAO, WAJISTIRI. tafuta watu wakusaidie kuliona andiko hilo kwenye kitabu kitukufu cha QURAN, sio utamadubi bali ni agizo la M/MUNGU kupitia kwa mjumbe wake.
 
So you are materialist••^unaangalia mavazi mazuri na usafi ndipo unapenda eeeh... Sitaki kuunganisha nukta zote kwa kuwa uzuri wa kitu ni akili ya akionaye na juu ya mawazi yako sikupingi kwa kuwa ni yako ila tambua watu wapo tofauti sana na hawawezi kuelekea katika mkondo mmoja wa kimaaadili au kitabia chako,sifia chako ila kumbuka usichopenda wapo wakipendacho usikichafue sana kwa kuwa nao wanaweza kukichafua chako zaidi
 
Back
Top Bottom