Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.
So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
Kasome Quran kuhusu sitara ya mwanamke utaelewa vizuri mkuu. Kanzu ndio utamaduni wa kiarabu lakini hijabu au mtandio ni utamaduni wa kiislamu na sio utamaduni wa mwarabu.Ule ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.
So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
Ule ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.
So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
Hakuna picha halisi ya Bikira Maryam wala Yesu, picha zote ni za kutunga na ni za uzushi kabisa.Dini zimeleta na tamaduni za hao walioleta dini hiyo.
Hijabu si tamaduni ya kiarabu tu bali hata kiyahudi, kihindi na sehemu zingine duniani.
Picha ya Bikira Maria ni mfano mzuri wa wanawake alivaa Hijabu,
Dada umekosea hayo si mavazi tu,dini ya kiislamu kutoka kuran sura 24:31 imeeleza vipi mwanamke wa kiislam anatakiwa avae,katika dini ya kiislam ni dhambi kubwa kuongea au kupunguza chochote kile,hamna kubahatisha katika dini ya kiislammimi ni mvaaji mzuri wa kistaarabu kama madera bila kuyabana na mitandio ,baibui na napenda sana
ni mkristo pia
hayo ni mavazi tu ..yoyote anaweza kuvaa
ila kwa hiyo picha ya pili umezingua....mkuu....View attachment 354866
View attachment 354867
Habari wadau..
Kiukweli mimi ni mkristo..
Ila napenda sana wadada wa kiislamu wanavyovaa mavazi yao na ushungii
Yaani yana staha sana na yanafanya uone mumewe anaenjoy sana..
Unamkuta mdada kashuka kwenye range lake na hijab yake...
na hata akivaa suti au formal dress la ofisini.. akipiga na ushungi wake anapendeza sana..
yaani unaona tofauti kubwa sana kati ya mke wa mtu wa kiislam na wa kikristo..
Mtu baba ana oil com, lake oil, home shopping na mabiashara mengine makubwa makubwa lakini ana staha.. hana dharau.. dress code ya heshima tele hadi unatamani awe wako..
Ila ukute mambo safi wa dini yetu..
Hicho kiminii.. kikuku na nyodo ofisini..
Hayo mavazi ni kama anashiriki umiss
Waislamu japo mna mapungufu yenu ila kwenye dress code ya wanawake mpo juu sana..
Kuna tofauti kubwa ya mavazi ya mwanamke aliyeolewa wa kiislam na kikristo..
Hata kumtongoza kipuuzi puuzi mtu unaogopa mavazi yake tu yalivyo mpa heshima kubwa...
Pale unapojikuta umejamba mbele ya waheshimiwa [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Ni afadhali kukaa kimya tu kuliko hili bandiko lako.
True datKikubwa kuelewa