kaburi jeusi
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 258
- 145
mm ni mkristo pia napenda sana mavazi women islamic yana heshima sana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamependeza
Wapo angalia avatar ya FaizaFoxy wa hapa JF mpaka vijana wanamtamani kimapenzi eti.inaoyesha unapenda sana weupe....kwani weusi walio pendeza hawapo?
ndo mmoja wapo kati ya wanao sifiwa si ni mwanamke wa kiislam anaejistirihivi mama samia suluhu ye mbona hasifiwi?
Ww unachuki na waislamUle ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.
So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
Mmh!!Uislam=tabia njema,tabia njema=mchaMUNGU.
وَقُلْ لِلْمُؤْمِنَاتِ يَغْضُضْنَ مِنْ أَبْصَارِهِنَّ وَيَحْفَظْنَ فُرُوجَهُنَّ وَلَا يُبْدِينَ زِينَتَهُنَّ إِلَّا مَا ظَهَرَ مِنْهَا ۖ وَلْيَضْرِبْنَ بِخُمُرِهِنَّ عَلَىٰ جُيُوبِهِنَّ ۖ وَلَا يُبْدِينَ زِينَتَهُنَّ إِلَّا لِبُعُولَتِهِنَّ أَوْ آبَائِهِنَّ أَوْ آبَاءِ بُعُولَتِهِنَّ أَوْ أَبْنَائِهِنَّ أَوْ أَبْنَاءِ بُعُولَتِهِنَّ أَوْ إِخْوَانِهِنَّ أَوْ بَنِي إِخْوَانِهِنَّ أَوْ بَنِي أَخَوَاتِهِنَّ أَوْ نِسَائِهِنَّ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُهُنَّ أَوِ التَّابِعِينَ غَيْرِ أُولِي الْإِرْبَةِ مِنَ الرِّجَالِ أَوِ الطِّفْلِ الَّذِينَ لَمْ يَظْهَرُوا عَلَىٰ عَوْرَاتِ النِّسَاءِ ۖ وَلَا يَضْرِبْنَ بِأَرْجُلِهِنَّ لِيُعْلَمَ مَا يُخْفِينَ مِنْ زِينَتِهِنَّ ۚ وَتُوبُوا إِلَى اللَّهِ جَمِيعًا أَيُّهَ الْمُؤْمِنُونَ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَUle ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.
So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
Ule ni utamaduni wa kiarabu. Uislamu ndo umekopi utamaduni wa kiarabu na kuuendeleza.
So sifia waarabu walioanzisha na sio waislamu.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] Mabinti wa kikristo sijui hawajui hilo au dharau na kiburi tu kwa AVE MARIAAVE MARIA, kavaa hivyo pia...asante
unaongelea mambo safi tu ee...wale wengine wa kawaida vipi ambao sio mambo safiView attachment 354866
View attachment 354867
Habari wadau..
Kiukweli mimi ni mkristo..
Ila napenda sana wadada wa kiislamu wanavyovaa mavazi yao na ushungii
Yaani yana staha sana na yanafanya uone mumewe anaenjoy sana..
Unamkuta mdada kashuka kwenye range lake na hijab yake...
na hata akivaa suti au formal dress la ofisini.. akipiga na ushungi wake anapendeza sana..
yaani unaona tofauti kubwa sana kati ya mke wa mtu wa kiislam na wa kikristo..
Mtu baba ana oil com, lake oil, home shopping na mabiashara mengine makubwa makubwa lakini ana staha.. hana dharau.. dress code ya heshima tele hadi unatamani awe wako..
Ila ukute mambo safi wa dini yetu..
Hicho kiminii.. kikuku na nyodo ofisini..
Hayo mavazi ni kama anashiriki umiss
Waislamu japo mna mapungufu yenu ila kwenye dress code ya wanawake mpo juu sana..
Kuna tofauti kubwa ya mavazi ya mwanamke aliyeolewa wa kiislam na kikristo..
Hata kumtongoza kipuuzi puuzi mtu unaogopa mavazi yake tu yalivyo mpa heshima kubwa...
Inasikitisha kwa kweli[emoji57] [emoji57] [emoji57] Mabinti wa kikristo sijui hawajui hilo au dharau na kiburi tu kwa AVE MARIA
PENYE WANAWAKE WENGI MCHANGANYIKO BINTI WA KIISLAAM WANAVUTIA KWA MAVAZI YAOInasikitisha kwa kweli
Kuna watu wana roho za ajabu sana.Hayo mavazi yapo kabla ya uislam, hiyo ni desturi ambayo iko kwa miaka mingi wala haihusiani na uislamu
م شا اللهوَقُلْ لِلْمُؤْمِنَاتِ يَغْضُضْنَ مِنْ أَبْصَارِهِنَّ وَيَحْفَظْنَ فُرُوجَهُنَّ وَلَا يُبْدِينَ زِينَتَهُنَّ إِلَّا مَا ظَهَرَ مِنْهَا ۖ وَلْيَضْرِبْنَ بِخُمُرِهِنَّ عَلَىٰ جُيُوبِهِنَّ ۖ وَلَا يُبْدِينَ زِينَتَهُنَّ إِلَّا لِبُعُولَتِهِنَّ أَوْ آبَائِهِنَّ أَوْ آبَاءِ بُعُولَتِهِنَّ أَوْ أَبْنَائِهِنَّ أَوْ أَبْنَاءِ بُعُولَتِهِنَّ أَوْ إِخْوَانِهِنَّ أَوْ بَنِي إِخْوَانِهِنَّ أَوْ بَنِي أَخَوَاتِهِنَّ أَوْ نِسَائِهِنَّ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُهُنَّ أَوِ التَّابِعِينَ غَيْرِ أُولِي الْإِرْبَةِ مِنَ الرِّجَالِ أَوِ الطِّفْلِ الَّذِينَ لَمْ يَظْهَرُوا عَلَىٰ عَوْرَاتِ النِّسَاءِ ۖ وَلَا يَضْرِبْنَ بِأَرْجُلِهِنَّ لِيُعْلَمَ مَا يُخْفِينَ مِنْ زِينَتِهِنَّ ۚ وَتُوبُوا إِلَى اللَّهِ جَمِيعًا أَيُّهَ الْمُؤْمِنُونَ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ
Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao, wala wasionyeshe uzuri wao isipo kuwa unao dhihirika. Na waangushe shungi zao juu ya vifua vyao, wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba wa waume zao, au watoto wao, au watoto wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kaka zao, au wana wa dada zao, au wanawake wenzao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, au wafwasi wanaume wasio na matamanio, au watoto ambao hawajajua mambo yaliyo khusu uke. Wala wasipige chini miguu yao ili yajuulikane mapambo waliyo yaficha. Na tubuni nyote kwa Mwenyezi Mungu, enyi Waumini, ili mpate kufanikiwa.