DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
- Thread starter
-
- #41
Ni kweli kabisa. Mara nyingine watu tunashindwa kuona hilo hadi baadaye sana. Nimejifunza somo kwa kweli.Hivi umesha mwangalia vizuri huyo bibie, anaonekana kabisa hajatulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli sababu mtu umeishi abroad, basi mambo ambayo kwa Tz sio sawa, tunaona ni sawa tu. Mimi sikuona ana tatizo mwanzoni. Laiti ningelijua.Huyo bibie anaishi kimarekan kwahyo wataendana tuu
Mkuu msamehe hajui matumizi ya "ana" na "Hana" Ila yupo Marekani anatangaza lugha yetuHalafu, wewe unasema mimba ilikuwa negative, mara uliporudia ikawa postive na ulipom-search ukamkuta na kikopo.
Kwahiyo ukaridhika na majibu yapi? Kwanini msingepima damu ili waone hormonal levels?
Wewe mtu wa Marekani mwenye uwezo wa mamilioni ulienda Hospital au Zahanati?
Mi nisaidie no.ya mjane wa Kobe tuu kama malipo ya ushauri wanguKweli sababu mtu umeishi abroad, basi mambo ambayo kwa Tz sio sawa, tunaona ni sawa tu. Mimi sikuona ana tatizo mwanzoni. Laiti ningelijua.
Yap. Uko sahihi. Sitabisha hilo. Nilikutana naye kwenye sherehe fulani ya harusi nikaona ni mdada mchapa kazi sana alikuwa anasaidia sana hapo siku hio. Ila ni gia tu za kujionesha sababu baadaye kwangu nilivyoondoka kusariri, nikaambiwa wala kazi akawa hafanyi. Anaangalia tu TV siku nzima.Huyo ndo unadai mchumba wako? Ulimvalisha mpaka Pete?
Pole sana hpo ukikutana na mtu yupo kazini mission yake haijaikamilisha bado.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza mkuu.Uliingiaje kwa demu huyu? Mbona kiwango kidogo sana mkuu. Ndio maana waumia sasa.
Anawasumbua kwani wao wanamhusu vipi? Mbona Kama hujitambui mzee? Hakuna walinzi wa kumzuia hapo ofisini? Inaonekana Kama kuna vitu unaficha. Kama mtoto ni wako leaNina nyumba tanzania. Ya kuishi na ofisi ya kampuni. Ndio anaenda hapo kusumbua wafanyakazi mara kwa mara.
Pia nashukuru waliotoa ushauri wa DNA kuituma tokea USA au kutumia za wazazi kulinganisha. Pia kuhusisha familia na familia. Nitaangalia hilo. Lakini nina uhakika mtoto sio wake. Kwa hio pia ushauri wa kutumia PRIVATE INVESTIGATOR ni mzuri pia. Nilipe mtu amfuatilie ajue ni mtoto wa nani. Nitawajuza updates yake.Mimi ningekuwa wewe simu yangu moja tu hanisumbui tena na angeniogopa kama ukoma.
Lakini wewe mleta mada unafeli wapi? Una hela kama unavuojinasibu lakini reasoning hujui.
Umeshinda hata kutumia laki moja kukopesha usumbufu wake?
Mimi siamini kama kweli Umeshindwa mpaka unalia humu jf.
Labda kuna mengine nyuma ya pazia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkurugenzi badirisha kwanza mtazamo wa kizamani. Hivi mtu akiwa majuu tu anakiwa na mamilioni siyo?mtazamo ni potofuHalafu, wewe unasema mimba ilikuwa negative, mara uliporudia ikawa postive na ulipom-search ukamkuta na kikopo.
Kwahiyo ukaridhika na majibu yapi? Kwanini msingepima damu ili waone hormonal levels?
Wewe mtu wa Marekani mwenye uwezo wa mamilioni ulienda Hospital au Zahanati?
Kuna geti na ukuta. Lakini anakuja kuja tu hapo kuulizia kama nipo nk. Huwa anakaa kimya muda, halafu ghasia zinarudi. Ana mapepo kwa kweli. Hata hio kuja tu kwa geti sipendi. Nilishamsahau kabisa ila ni kama jini ambalo linatafuta gia mbalimbali za kuwa katika maisha yangu. Sitaki kabisa mawasiliano, kumwona, kuwasiliana naye nk. Na sasa ndio anatumia ndugu naoAnawasumbua kwani wao wanamhusu vipi? Mbona Kama hujitambui mzee? Hakuna walinzi wa kumzuia hapo ofisini? Inaonekana Kama kuna vitu unaficha. Kama mtoto ni wako lea
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi. Hata kama mamilioni yapo, sio ya kuchezea. Bado watu tunapambana kukuza kampuni nk. Kila hela ina mradi muhimu wa kuifanyia. Na sio kuchezea kwa mademu kama huyuMkurugenzi badirisha kwanza mtazamo wa kizamani. Hivi mtu akiwa majuu tu anakiwa na mamilioni siyo?mtazamo ni potofu
Tulipima kabla ya mahusiano. Ila kwa sasa siamini kabisa wadada wa Tz aisee. Na ukimwi ulivyo balaa na wanapenda sana ku-cheat. Kwa hio siku hizi nimetulia tu hadi Mungu anipe mke wa ukweli. Niko napambana na shughuli zangu tu mkuu.
Kabisa USA zipungue [emoji23][emoji23][emoji23]Kaka hapo uliingia mkenge....ukimwangalia vizuri huyo mwanamke ana vigezo vyote vya ubaharia a.k.a chama la wana....Ninachokushauri mpotezee tu,waambie na ndugu zako ukweli wampuuze tu ashakuona unatingishika ndo maana anakutingisha.
NB😛unguza hizo USA kwenye maelezo mkuu,unatuumiza moyo sisi masikini tusio na hatia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe DiasporaUSA nicheke tu. It can happen to anyone. Which state in the US are you?Umefanya mambo meusi kama Lugola