Umemdanganya. Kitanda hakizai haramu wakati sio mke wake?,ni demu wa wengi,ila demu anachagua wa kumsumbua,penye unafuu.Iko hivi:
1. kama ni wako, usikimbie damu.
2. Kama ni wa mwenzako, kitanda hakizai haramu.
Either way,ni wajibuwako kulea mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa mchango wako mkuu. Unanifumbua macho zaidi.Hapo umeingizwa choo cha kike mkuu. Hapo hakuna mwanamke. Ndio huyo unamwita mdada mrembo huyo?. Watu mna roho ngumu,demu hata kwa macho tu unampima kwamba huyu ni baharia la kike tena lililokubuhu. Yaani wewe unahangaika na hilo dude,yaani umewekeza kabisa na roho yako hapo?. Demu ana rangi mbili. Kweli wahenga walinena kipendacho roho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap. Ndio wadada wengi wa Tz walivyoUmemdanganya. Kitanda hakizai haramu wakati sio mke wake?,ni demu wa wengi,ila demu anachagua wa kumsumbua,penye unafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua kama umepata jibu! Jinsi ya kufanya, mtume ndugu yako achukue unywele wa huyo mtoto akutumie au kucha halafu ukapime DNA huko marekani. Maskini binti aliposikia upo marekani akaona ukoo wake utaaga umaskini kwa yeye kuolewa nawe. Asichokijua wewe ni sawa naye ila mazingira tofauti. Angejua unaishi Buza ya marekani asingeingia mchechetoWadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu matokeo yalikuwa negative kwa mimba mara positive ndio mtu akasema nimsachi. Sasa anatuma picha kwa ndugu zangu anasema nimemtekeza mtoto. Mimi kwa sasa sipo Tanzania niko abroad kwa hio hata DNA siwezi fanya.
Ila amekuwa ghasia sana. Kuna picha amenitumia NAOMBA KAMA KUNA ANYEJUA HUYO NI MTOTO WA NANI ANIAMBIE SABABU MIMI NAJUA HUYO mdada amechukua tu mtoto wa mtu anapiga picha naye. Muda aliosema amezaa mahesabu yanakataa. Na kama nilivyosema, nilipima mwezi mmoja baada ya kuwa naye mara ya mwisho akakutwa hana, akalalamika akaomba warudie vipimo, akakutwa ana mimba. Basi ndio nilivyomsachi, nikakuta ana hicho kichupa amekificha kilichokua na mkojo. Ni mdada mrembo, lakini urembo bila roho ni kazi bure.
Picha zake na ya mtoto hizi hapa. Najua huyu ni mtoto wa mtu Fulani. Naomba mnisaidie sababu ghasia zake zimezidi kwa kweli na mimi mwaka jana niliacha kazi zangu USA nikanunua tiketi ya mamilioni nikaacha shughuli zangu nikarudi Tz kushughulikia ghasia zake za mimba za uongo, na sasa sitaki KUFANYA HIVYO tena. Naomba msaada wenu wadau.
PS: Napenda sana mtoto. Ila sijajaliwa bado sababu sijapata mke bado. Ndio wadada nakutana nao kama huyu ni utapeli mtupu. Ila hata sasa hivi nasomesha Watoto watatu wa marafiki tu, kwa hio sio kwamba sina uwezo wa kumsaidia. Lakini sitaki kumsaidia mtu tapeli. Na kama nilivyosema najua hata huyo mtoto sio wake. Namba hazikubali kabisa.
View attachment 1341634
VIDEO HII HAPA
View attachment 1341657
View attachment 1341631
View attachment 1341632View attachment 1341633
Ni kweli. Mademu Tz wanajua uko USA basi wanaona dola tu. Wangejua hata sisi tunavyopambana na kumenyeka nchi za watu, wala wasingebabaika kihivyo. Kiukweli mademu wananigombania sana. Lakini karibu wote ni pesa tu au hilo suala la USA ila hakuna anayekupenda.Sijajua kama umepata jibu! Jinsi ya kufanya, mtume ndugu yako achukue unywele wa huyo mtoto akutumie au kucha halafu ukapime DNA huko marekani. Maskini binti aliposikia upo marekani akaona ukoo wake utaaga umaskini kwa yeye kuolewa nawe. Asichokijua wewe ni sawa naye ila mazingira tofauti. Angejua unaishi Buza ya marekani asingeingia mchecheto
Asante sana kwa ushauri mzuriMimi nashauri kwanza usimhendekeze huyo mwanamke tapeli,mara kumruhusu aende kazini kwako,mara kuonana na ndugu zako, anaanzaje au anapataaje nguvu za kuja kazini kwako? Watu wanakataa watoto zao wa kuwazaa kbs itakuwa huyo wa kusingiziwa, inavyoonekana wew ni mpole na unapenda kusikiliza watu wanaokuja kwa kutia tia huruma. Mimi nikushauri kutokana na unachokiomba kushauriwa moja, tafuta ndugu yako aliyepo tz ambaye atakuwa tayr kukusaidia kupata nywele za mtoto (avae gloves kisha amnyoe nywele azihandle vizuri)alafu akutumie huko Marekani upime DNA maana tz kuna complications juu ya suala hilo. Shirikisha ndugu zako hasa wazazi wakusaidie ,wafanye kama wanataka kumhudumia mtoto alafu baadaye wafungue shauri ustawi wa jamii kisha mahakani alafu mnaweza kufikishana huko pa kupima DNA, Tafuta rfk zako wa karibu, wamtongoze huyo mwanamke kisha wakusaidie kupata taarifa nyeti za huyo mwanamke.
Mwisho, jaribu kuwa strong , usicheze na wanawake wa namna hiyo, kuwa mkali sana, wala wasimruhusu kwenda kazini kwako, wamuitie polisi kwamba anaenda kufanya fujo,wamkane kabisa kuwa hawamjui.
Ndio hivyo. Watu maisha yana challenges aisee. Inawezekana mtu usiwe na shida sana ya hela, lakini mambo mengine kibao. Pia wanasema more money more problems. Ndio matatizo kama haya yanakukumba. Nakutakia siku njema.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nina hasira ila huu uzi umeniondolea maumivu
Hapo kupima mkojo niko hoi 🤣🤣🤣🤣🤣sijakaa sawa tangazo la mtoto wa nani
Mara dau...😊😁😁😁
Viva JF sometimes hizi drama humu ni tiba kwa magonjwa yetu😂😂😂😂🤗
Mamilioni ta tiketi itakuwa ndio tatizo boss.Subiri kwanza; shida ni mtoto (kuto)kuwa wako, ndugu zako kusumbuliwa au wewe kuwa Marekani?
Dem mbovu sana, unawezaje kupiga bao hapo?Naweka beti kwamba kama ni mtoto wake, na hata kama ni wa jamaa mwingine. Kama ni mtoto wake tu yeye wa kumzaa NITAMLIPA YEYE MILIONI 5, NA FAMILIA YAKE MILIONI 5. Naweka bet hii sababu najua sio mtoto wake, na pia najua mimi na yeye hatuna mtoto.
Kitanda hakizai haramu kama mmeoana.Iko hivi:
1. kama ni wako, usikimbie damu.
2. Kama ni wa mwenzako, kitanda hakizai haramu.
Either way,ni wajibuwako kulea mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course. Kwani kupoteza hela hata laki 5 kuna raha yoyote? Hata laki moja. Kupoteza ni kupoteza tu. Na inaudhi sana.
Nilishamwomba anitumie cheti cha kuzaliwa sana. Tena sio mara moja. Hajafanya hivyo. Na nilimpiga biti nikamwambia akituma feki ni kughushi document ya serikali na nitahakikisha anaenda jela miaka mingi. Dhumuni ilikuwa kujua amezaliwa lini. Hilo amelikwepa moja kwa moja. Ananiona mimi bwege sana itakuwa.Watu wasishambulie Bila kusikia upande wa mwanamke.
Yeye si anasema ni wako? Na uwezo si unao? Chukua mtoto.
Halafu hakikisha vyeti vinasoma jina lako, kama ana wazazi wengine lazima watarespond tu. Wasiporespond basi hiyo ni zawadi umepewa lea maana uwezo umepewa.
Hii akili sijui ni ya ki USA uliyotumia kusambaza picha za mtoto si ya busara.
Picha kasambaza mwenyewe kwanza. Mitandaoni kwa ndugu nk. Kwa hio ni halali kabisa nilivyofanya.Watu wasishambulie Bila kusikia upande wa mwanamke.
Yeye si anasema ni wako? Na uwezo si unao? Chukua mtoto.
Halafu hakikisha vyeti vinasoma jina lako, kama ana wazazi wengine lazima watarespond tu. Wasiporespond basi hiyo ni zawadi umepewa lea maana uwezo umepewa.
Hii akili sijui ni ya ki USA uliyotumia kusambaza picha za mtoto si ya busara.