Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Ndio hivyo mkuu. Niliingizwa mkenge. Lakini NEVER AGAIN. Ushauri kwako mkuu... sio lazima kutumia maneno ya kipuuzi kwenye uzi kama ulivyofanya hapa.Duh...njaa mbaya sana. Mtu yuko anatoka nje ya nchi (USA) na njaa zako unakuja unapumulia kwa changudoa grade mbaya wa namna hii??
Yeye ana ruhusa ya kuweka ya kwangu. Mimi nimeweka yake na utapeli wake. Ya kwangu ni juu yake yeye. Asante kwa ushauri.Mkuu mbona picha yako hujaweka acha uzwazwa toa hizo picha mkuu vitu vyengine hutakiwi kuvikuza unatakiwa uwe namaamuzi yakiume sio kuweka picha ya mtoto humu ikiwezakana zitoe zote.
Issue ndogo kabisa unaanika watu uko kaskazini yeye mwanamke yuko kusini mbona ungeleeza bila picha tungelewa kuna watu wanaishi mtaa mmoja nawanakataa mimba na maisha yanaendelea.
Kwa harakaharaka tu huyo mwanamke ww ndio unaemwendekeza hakuna njia salama km kuyapuuzia mambo yapite angechoka drama zake ungeendelea na maisha kinachokufanya uwe karibu nae naww uko mbali ndo kitu cha kwanza kabisa kukiondoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mwanaume. Huwezi fanya maamuzi kama yake.Picha kasambaza mwenyewe kwanza. Mitandaoni kwa ndugu nk. Kwa hio ni halali kabisa nilivyofanya.
Kiukweli nimejifunza mengi sana leo hapa. Halafu siku hizi kuna jambo la siri sasa? Fb, insta, nk? Mbona mnadiscuss mahusiano ya mastar wa bongo kila siku hapa?Bro naomba umsalimie obama aisee ukimwona..joke....sasa kaka ulijiamini nn kupiga kavu huyo malaya...halafu mbona personal issue ushafanya cha wote...hivi kweli swala la kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki unatuletea jamiiforum utadhan sisi tunakaa karibu na huyu baharia ni kutukosea heshima...grow up..au kama vp peleka habari tmz au cnn (fake news site) ps sio ustaarabu kuweka picha ya mtoto kwe mitandao...futa
Aisee hii nimeipenda ya kusema anipe mtoto nimlee. Nione anafanyaje. Ila inafaa nikiwa Tz na inafaa kumshtukiza tu asipate muda wa kunichezea tena.Wewe ni mwanaume. Huwezi fanya maamuzi kama yake.
Kuna sababu moja tu mwanamke atalazimisha kuwa ana mtoto na wewe, maslahi.
Sasa ukimchukua huyo mtoto utakuwa umemnyang'anya sababu ya yeye kutaka kuwa na mtoto na wewe.
Sasa badala ya wewe kutumia akili unashindana nae mitandaoni.
Wewe tafuta wakili amfate amwambie unataka mtoto anayesema ni wako kama hataki utapeleka kesi mahakamani halafu uone kitakachofata.
Karibu bosi.Aisee hii nimeipenda.
Now you are talking. Ushauri bombastic kabisa.Ila Cha kwanza demu mbaya..turudi kwenye mada.....inaonekana wew Ni nice guy Sana na Ni mlaini mno...hapa najua badboyz wangesha solve msala mapema...maana kwa maelezo yako huyo Dem anaangalia bright future na kukutoa hela...tumia mbinu za kijasusi na wahuni kujua mtoto Ni wako au sio wako..week mbili kubwa Sana kujua uyo mtoto ni wake au sio wake...na Kama wake,Ni wako au sio wako....don't be too nice to gold diggers
Hata huyo mwanamke alishawahi kuwa bikra. Ujui Kuna watu wanafunguliwa bikra zao kwenye ukahaba. Tabia mbaya haina uhusiano na bikra.Nikiwaambia tafuteni Bikra mnaniona lofa. Haya mimi nawaangalia tuu.
Ushauri; Mwambie huna mpango naye, kisha mwambie mtoto sio wako aende popote, kisha waambie ndugu zako kuwa mtoto sio wako na akija huyo mwanamke wamfukuze.
Ingawaje stori hii ni kama imeandikwa na mwanamke
Mwanamke huwa hapendi anapendwa! Wote wapo hivyo, ukitaka wa kuoa oa huko huko hasa Mzungu hata wa Columbia oa tu. By the way huyo binti mbona mchafu sana, unaokota wapi? Ukirudi chukua watoto kama Batuli, menina siyo wachafu chafu kama Machangu! Najua unavyosotea hizo dollarNi kweli. Mademu Tz wanajua uko USA basi wanaona dola tu. Wangejua hata sisi tunavyopambana na kumenyeka nchi za watu, wala wasingebabaika kihivyo. Kiukweli mademu wananigombania sana. Lakini karibu wote ni pesa tu au hilo suala la USA ila hakuna anayekupenda.
Kuna jamaa yangu yuko Mwembechai ukimpa kandarasi kama hii anaimaliza ndani ya siku 5 tu na demu anamla kujipongeza. ila inabidi umpatie mpunga wa kujikimu akiwa hukoAjiri mtu Tanzania kwa kazi maalum ya kumchunguza... Unaweza uka finance hata jamaa adate naye lakini wakati huohuo ukimtafutia shoga wa kike kwa nia hiyo hiyo... Mwezi ni mkubwa utapata kila kitu
Jr[emoji769]
Na hapo ndio panaletaga mabalaa kweli kweli!!Mwanamke akishapiga picha za kujibinua binua tu huwa naona ana tatizo mahali
Wanaume tusikojoe kojoe kila sehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa. Tutawasiliana ASAPKuna jamaa yangu yuko Mwembechai ukimpa kandarasi kama hii anaimaliza ndani ya siku 5 tu na demu anamla kujipongeza. ila inabidi umpatie mpunga wa kujikimu akiwa huko
Mademu wa kizungu nimeshakuwa naye. Ila wanaku-control sana sana na pia wanakuzuia usirudi kwenu. Wanataka ubakie tu nchi za watu. Mimi sijapenda hio. Brothers wangu wawili wameoa wazungu na Tz hawajakanyaga miaka na miaka. Mimi wa kwangu pia alikuwa controlling sana na Tz hakupapenda.Mwanamke huwa hapendi anapendwa! Wote wapo hivyo, ukitaka wa kuoa oa huko huko hasa Mzungu hata wa Columbia oa tu. By the way huyo binti mbona mchafu sana, unaokota wapi? Ukirudi chukua watoto kama Batuli, menina siyo wachafu chafu kama Machangu! Najua unavyosotea hizo dollar
Ninasaidia kusomesha watoto watatu tayari wa ndugu na marafiki. Kwa hio kwangu sio shida kufanya hivyo. Shida ni kutapeliwa. Hilo sipendi. Si angeniambia tu bila uongo shida yake nimsaidie?Kwan ukilea huyo mtoto utakufa?? Watu wa Marekani bhana tuma lak kila mwez bac mpak umefika Marekani bac mfukon kidogo si haba huwez jua uyo kamanda atakuja kuwa Nan in future