Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Mkuu mbona picha yako hujaweka acha uzwazwa toa hizo picha mkuu vitu vyengine hutakiwi kuvikuza unatakiwa uwe namaamuzi yakiume sio kuweka picha ya mtoto humu ikiwezakana zitoe zote.
Issue ndogo kabisa unaanika watu uko kaskazini yeye mwanamke yuko kusini mbona ungeleeza bila picha tungelewa kuna watu wanaishi mtaa mmoja nawanakataa mimba na maisha yanaendelea.
Kwa harakaharaka tu huyo mwanamke ww ndio unaemwendekeza hakuna njia salama km kuyapuuzia mambo yapite angechoka drama zake ungeendelea na maisha kinachokufanya uwe karibu nae naww uko mbali ndo kitu cha kwanza kabisa kukiondoa.
Sent using Jamii Forums mobile app